data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Hamna wanalofanya.... Sema tu wana blood ties ila G nako ilibidi asepeMi sjui hata hao weusi wanaimba nini, nyimbo hazieleweki sjui wanaimba ki-lugha khaaa...comment ya ukanda na ukabila ndo inayowabeba weusi kwa kupata show pale clouds hakuna kingine kwa kweli