Hakuna show itakayoandaliwa na clouds weusi wakakosekana...

Hakuna show itakayoandaliwa na clouds weusi wakakosekana...

Mi sjui hata hao weusi wanaimba nini, nyimbo hazieleweki sjui wanaimba ki-lugha khaaa...comment ya ukanda na ukabila ndo inayowabeba weusi kwa kupata show pale clouds hakuna kingine kwa kweli
Hamna wanalofanya.... Sema tu wana blood ties ila G nako ilibidi asepe
 
Hivi nikisikiliza “hao” na “chochote popote “ by joh makini na nikimsikiliza now naona kama sio yeye. Zamani Ali kuwa anajua now hii mida ya wakubwa sijui watoto wamelala I think bangi anazovuta hazina viwango.
 
mkuu wa bongo fleva clouds.. ni b 12.. na b12 ni mtoto wa arusha, hawezi watosa jamaa zake.. msaidizi wa b 12 ni adam mchomvu nae mtoto wa arusha.. wanajua wakiwatosa weusi wakirudi likizo makwao arusha watatengwa na jamaa wa kitaa..

so wasanii wa arusha wana nafasi sana clouds.. na weusi ndio best wasanii wa arusha.. so wanapewa chance wao sana
Na kennedy the remedy pia chuga moja
 
Vingine watu mnaongea tu bure. Hata nyinyi mlioandika hizi comments humu mngekua ndio B12 mngewapa shavu wanenu zenu. We unataka aonekane vipi akirudi Arusha kuwa mchizi anabania watoto wa kitaa.

Kingine, jamaa wapo poa sana na huwasikii wakiwa na maungeseungese. Kutii kwao ni kama askari jeshini. Lazima uwe na adabu na nidhamu kwa wakubwa zako waliokuzidi vyeo; ndicho wanachokifanya Weusi. Jo Makini kaamua kufanya commercial rap kulingana na demand ya soko sio kuwa jamaa hawezi kufanya ngoma kama zile wakati anatoka. Aimbe zile alale njaa ebo!
 
Najizuia kuingia kwenye mtego wa huu uzi,

Ila konk master aliliongelea vyema sana hili la kubebwa kwa weusi na uhusiano wa Jux na Joh makini na huyo b12. Sitaki kurudia alichokisema ni bora nikaishia hapa.
 
Hivi nikisikiliza “hao” na “chochote popote “ by joh makini na nikimsikiliza now naona kama sio yeye. Zamani Ali kuwa anajua now hii mida ya wakubwa sijui watoto wamelala I think bangi anazovuta hazina viwango.
Siku hizi haimbi anatafuta namna ya kuwapekenyua watoto wa kike tu,zamani Joh ndio alikuwa anaimba
 
WEUSI NOMAAA...wanauwezo mkubwa sio B12 wala nini...mbona wanapiga show hata concert za media nyingine
 
Najizuia kuingia kwenye mtego wa huu uzi,

Ila konk master aliliongelea vyema sana hili la kubebwa kwa weusi na uhusiano wa Jux na Joh makini na huyo b12. Sitaki kurudia alichokisema ni bora nikaishia hapa.
Wengine tupo kolomije hatukumsikia!
 
"Ukilia nafagilia, kata kulia sijui nini nini. Tangu 2015 mpaka leo sija download nyimbo ya joh.
 
Najizuia kuingia kwenye mtego wa huu uzi,

Ila konk master aliliongelea vyema sana hili la kubebwa kwa weusi na uhusiano wa Jux na Joh makini na huyo b12. Sitaki kurudia alichokisema ni bora nikaishia hapa.
Daah noma
 
Back
Top Bottom