Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Tunajua mbona! Kwani kumetokea nini
🤣🤣🤣🙏🏽[emoji28]anawakumbusha tu mkuu...
Huyo bwana ni tapeli kabisa ndugu mdau😁'Nitakupa adhabu ya milele, usiponiomba msamaha kwa makosa ya muda mfupi, ambayo ninajua utafanya na nitaruhusu'
'Pia ninahitaji unikumbushe kwamba naishi, unisifie kila siku na uniogope'
'Lakini upo huru kukataa, ila ukikataa, nakuadhibu'
Asema Bwana wa majeshi.
tunakumbushana tu mkuuTunajua mbona! Kwani kumetokea nini
kasema nini na wapiNan kasema?
😁kasema nini na wapi