peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mkuu wa Mkoa atoe kibali, ingesaidiaKanunueni Kenya ipo kibao
Mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya wanahusikaje na sukari? Iulizeni bodi ya sukari.Maduka yote ya jumla mkoani Kilimanjaro, hakuna sukari na kiwanda cha sukari cha TPC Kiko kms 17 kutolea mjini Moshi.
Wana CCM tunamuuliza mkuu wa Mkoa HUO na wakuu WOTE wa Wilaya, wakanumuevsukari wapi?
Hata hiyo demokrasia pia hakuna. Bora sukari wanaweza kununua Kenya... Sasa demokrasia ni jambo la asili Lakini linazuiliwa kabisa na CCM.Badala ya Sukari mnaweza mkatumia Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni
Hao ni wawakilishi wa Rais maana wanafanya kazi kwa niaba yake... Hata hiyo bodi ya Sukari nayo inafanyakazi kwa niaba ya Rais.Mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya wanahusikaje na sukari? Iulizeni bodi ya sukari.
bodi iko wapi? afu dc rc wale ndio tumekabidhiwa sisiMkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya wanahusikaje na sukari? Iulizeni bodi ya sukari.
anaupiga mwingi sana mama
Sisi raia ndo tunaona aibu, lakini wakubwa huko hawana aibu na ziara wanaendaIla tuseme tu ukwel HII NI AIBU SANA kwetu kama taifa..
AIBU MNOOO
KUna muda kiukwel unauchukia utanzania kwasababu ya kundi la mbwaa ambao tumewapachika jina la viongoziSisi raia ndo tunaona aibu, lakini wakubwa huko hawana aibu na ziara wanaenda
Siyo Dalia kweli?Wapiga dili hao kuna supplier eti kapewa kanda nzima ya kaskazini ni yeye tu.
Biashara za siasa hizi ,wafuate Tangazo kuna msambazaji kapewa tender.
Namanga sukari ipo ya kutosha, majirani zetu wanasaidia pakubwa kaskazini 🐒Maduka yote ya jumla mkoani Kilimanjaro, hakuna sukari na kiwanda cha sukari cha TPC Kiko kms 17 kutolea mjini Moshi.
Wana CCM tunamuuliza mkuu wa Mkoa HUO na wakuu WOTE wa Wilaya, wakanumue sukari wapi?
Hakuna atakae kuelewa, subiri matusi tu.Hakuna ulazima wa kutumia *sukari acheni kujiendekeza.
Sukari siyo huduma ya msingi kwa binadamu!