Hakuna Taifa lililoendelea kwa ziara za Rais Nje ya Nchi

Mnaparuana wenyewe kwa wenyewe. Una maumivu makali ndugu yako Sabaya ataozea nyuma ya nondo. Dogo kuwa mpole shauri zako ukiendelea na kiherehere utawekewa tena vipande vya chupa kwenye msosi.

Kama ukijua ungeshabikia na kuunga mkono upinzani Chadema na Mbowe kwani tukichukua nchi siku 100 za mwanzo tunatandaza mkeka lami ya uhakika toka Sanya juu hadi kwenu huko Longido
Doooo umempatia haswaaa
 
Raisi kikwete alisafili kila taifa kwa kupindi chake lakini tatizo la ajira lilikuwa linaitwa bomu la taifa,

Alikutana na hao wanaoitwa wawekezaji na wengine wakawa matapeli lakini uchumi bado ukawa chini na nchi ikaendelea kuitwa masikini na watu wenye shida wengi.

Kama alikuja obama akaja clinton akaja bill gate na wengine,
Ikasainiwa mikataba ishilini kwa raisi wa china lakini mpaka sasa umasikini upo palepale nabhakuna tathimini ya kuonyesha watazania wamefaidikaje na hao watu na inchi yenye rasilimali kibao
Sasa huyu wa sasa atamleta nani atakaewashinda wale wa kikwete?

Kwa sasa tunamsubili yesu na muhamad pekee labda ndo watamaliza hizi shida za uwekezaji kama tumeshindwa kutumia akili zetu sisi kama taifa.

Raisi akae atulie, wenye shida ya uwekezaji watakuja tu kwa kua kila kitu tunacho hapa TZ, najua watajileta tu kuliko kuongeza matumizi yasiokua na faida zaidi ya kulamba hata kile tulicho kusanya.
Nawaona jinsi Sukuma gang mnavyo tokwa na mapovu kwa chuki na mihasira.
 
Umemelaza kila kitu hapo chini,wewe una dhahabu anayetaka atakuja tu,ukimufuata atakupa mashariti anayotaka yeye.
Rais wetu sijui kadanganywa na Nani tu! Maana aliona kila kitu JPM alivyofanya.
Au wanafikiri alikuwa mwehu.
Wachana na habari za mwendazake ongelea mambo ya sasa ya awamu ya 6
 
Kwahiyo "chuma" kirudi mkuu?
Naunga mkono jitihada za kuifungua nchi, ila sikubaliani na approach inayotumika katika kufanya hivyo.

Ni kweli tunahitaji wawekezaji , ni kweli tunahitaji ajira lakini namna tunavyowatafuta na kushirikiana nao sioni hiyo faida inayosemekena itapatikana.

Tunaweka mazingira mazuri ya uwekezaji ndio , at the expense ya kurisk rasilimali zetu lakini tunachokipata hakilingani na risk yenyewe.

Hizo Multinational Corporations ni wazoefu wa kufanya investments katika developed countries, wanajua namna ya kufanya ili kupata faida.

Wanajua udhaifu wa watendaji na viongozi wa developed countries, na pia wana wataalam lukuki wa namna ya kukwepa kodi , hivyo naamini kabisa kuwa hatutaambulia chochote. Historia ni shahidi na tumeona namna Accacia ilivyotufanya over the years.

Moja ya mambo ambayo wawekezaji hao wanayataka ni upatikanaji kwa urahisi kwa Work Permit.
Sasa kama tunataka watanzania wafaidike na hizo ajira sioni namna gani watafaidika nazo kama wageni nao watafurika kupigania hizo nafasi.

Hao wawekezaji ndio hulalamika kuwa watanzania hawaajiriki kwakua ni wezi, hivyo wanapenda kutoa wafanyakazi nje ya nchi sasa kama watanzania ni wezi, kwanini wageni wanapewa nafasi ya kuwekeza katika nchi ya wezi.

Kwakweli sijawahi kuona nchi ikipata maendeleo kwa njia ya uwekezaji wa Taifa jingine.

Kwa Mfano Rais wa Taifa kubwa kabisa lenye uchumi mkubwa marekani , Bwn Trump katika kipindi cha miaka mi nne alisafiri mara 19 tu katika nchi 24 duniani, sasa Rais wetu kwa miezi sita tu anazo safari zaidi ya 6 unaweza ona miaka yake 10 itakua na safari si chini ya mia na zaidi.

Tunapenda nchi yetu iendelee na ifunguke lakini tujadiliane na kuangalia ni namna gani tunaweza kufanya hivyo na tukanufaika, ila binafsi sioni kama kusafiri sana nje ya nchi ndio suluhu, na pia sioni sana kama Direct Foreign Investment ni suluhu tosha.

Nawasilisha.
 
Popote duniani. Nchi huendelezwa na wananchi wake. Hakuna mtu atakayetoka nchi nyingine kuwaendeleza. Sijawahi kusoma sehemu ambayo nchi iliendelezwa na nchi nyingine ikabaki salama. Afrika Kusini ni mfano hai. Ila viongozi wa Tanzania wanafanya hivi kwa sababu hawana pressure yoyote kutoka kwa wananchi. Wananchi wamejikalia na kuridhika na ufukara unaowaandama. Ila siku ikitokea (na lazima hiyo siku itafika kama nchi ikiendelea kuendeshwa inavyoendeshwa sasa) wananchi wakachoka, basi nchi itarudi nyuma tuanze tena upya.
 
Foreign Direct Investment ni muhimu katika kuzalisha ajira, hebu tuambie strategy gani wewe unaweza kuitumia kupromote ajira?

#Mama zunguka tuletee wawekezaji vijana wapate ajira,waoe wawe na familia na wao wawekeze waajiri wengine.
Hii ni statement ya wajinga tu! Bahati mbaya sana wajinga wameanza kuwa wengi nchini pamoja na vyuo kuongezeka. thrd inauliza ni nchi gani unayoifahamu kwamba imeendelea kwa foreign investment? Au unayasikia maneno hayo mara nyingi kwa kiingereza, nawe unaamini kuna watu wa aina hiyo.

Yaani mtu aje TZ kuwekeza, azalishe anachokitaka na kuuza kwa faida, halafu akuachie cha maana ili nawe uendelee! That is stupidity of highest level. Ni maneno matamu ya kurudisha ule ukoloni wa kutafuta vyanzo vya malighafi toka makoloni.
 
Raisi kikwete alisafili kila taifa kwa kupindi chake lakini tatizo la ajira lilikuwa linaitwa bomu la taifa,

Alikutana na hao wanaoitwa wawekezaji na wengine wakawa matapeli lakini uchumi bado ukawa chini na nchi ikaendelea kuitwa masikini na watu wenye shida wengi.

Kama alikuja obama akaja clinton akaja bill gate na wengine,
Ikasainiwa mikataba ishilini kwa raisi wa china lakini mpaka sasa umasikini upo palepale nabhakuna tathimini ya kuonyesha watazania wamefaidikaje na hao watu na inchi yenye rasilimali kibao
Sasa huyu wa sasa atamleta nani atakaewashinda wale wa kikwete?

Kwa sasa tunamsubili yesu na muhamad pekee labda ndo watamaliza hizi shida za uwekezaji kama tumeshindwa kutumia akili zetu sisi kama taifa.

Raisi akae atulie, wenye shida ya uwekezaji watakuja tu kwa kua kila kitu tunacho hapa TZ, najua watajileta tu kuliko kuongeza matumizi yasiokua na faida zaidi ya kulamba hata kile tulicho kusanya.
We ni dogo lakini umesema ya maana sana. Yaani kadri anavyojimwaga nchi za watu ndo anadharaulika. Baadaye ataanza kuhongwa suti na kupokelewa na wanamziki kama Kiwete. Tatizo wanaomzunguka wanafaidika na safari na huenda wanamwambia we endelea tu ili ufahamike.
 
Naunga mkono jitihada za kuifungua nchi, ila sikubaliani na approach inayotumika katika kufanya hivyo.

Ni kweli tunahitaji wawekezaji , ni kweli tunahitaji ajira lakini namna tunavyowatafuta na kushirikiana nao sioni hiyo faida inayosemekena itapatikana.

Tunaweka mazingira mazuri ya uwekezaji ndio , at the expense ya kurisk rasilimali zetu lakini tunachokipata hakilingani na risk yenyewe.

Hizo Multinational Corporations ni wazoefu wa kufanya investments katika developed countries, wanajua namna ya kufanya ili kupata faida.

Wanajua udhaifu wa watendaji na viongozi wa developed countries, na pia wana wataalam lukuki wa namna ya kukwepa kodi , hivyo naamini kabisa kuwa hatutaambulia chochote. Historia ni shahidi na tumeona namna Accacia ilivyotufanya over the years.

Moja ya mambo ambayo wawekezaji hao wanayataka ni upatikanaji kwa urahisi kwa Work Permit.
Sasa kama tunataka watanzania wafaidike na hizo ajira sioni namna gani watafaidika nazo kama wageni nao watafurika kupigania hizo nafasi.

Hao wawekezaji ndio hulalamika kuwa watanzania hawaajiriki kwakua ni wezi, hivyo wanapenda kutoa wafanyakazi nje ya nchi sasa kama watanzania ni wezi, kwanini wageni wanapewa nafasi ya kuwekeza katika nchi ya wezi.

Kwakweli sijawahi kuona nchi ikipata maendeleo kwa njia ya uwekezaji wa Taifa jingine.

Kwa Mfano Rais wa Taifa kubwa kabisa lenye uchumi mkubwa marekani , Bwn Trump katika kipindi cha miaka mi nne alisafiri mara 19 tu katika nchi 24 duniani, sasa Rais wetu kwa miezi sita tu anazo safari zaidi ya 6 unaweza ona miaka yake 10 itakua na safari si chini ya mia na zaidi.

Tunapenda nchi yetu iendelee na ifunguke lakini tujadiliane na kuangalia ni namna gani tunaweza kufanya hivyo na tukanufaika, ila binafsi sioni kama kusafiri sana nje ya nchi ndio suluhu, na pia sioni sana kama Direct Foreign Investment ni suluhu tosha.

Nawasilisha.

Mimi bado sijaelewa kwanini kuna watu wana ushamba wa kupinga safari. Kitu cha maana ni safari za nini mfano Museveni kaja mara ngapi Tanzania? ni kwasababu kuna mradi muhimu kwa nchi yake. Egypt wamemwalika Raisi Samia lakini kuna mradi muhimu wa bwawa la nyerere! sio vizuri kukataa mwaliko bila sababu. Hivyo ni ushamba kuhoji safari hasa za kitaifa ni kutokujua.
 
Yule hakuwa na uelewa wa mambo mengi sana likiwemo hilo la kusafir akiwaaminisha watu kwamba anabana matumizi
Kwa hiyo kwa safari hizi tutafaidika sana? Atamzidi Kiwete kufika kwenye mabembea ya Jamaica? Alifikia hadi kupokelewa na wanamziki tu lakini yeye yumo!

kikwete na mkewe.jpg
 
Kwa hiyo kwa safari hizi tutafaidika sana? Atamzidi Kiwete kufika kwenye mabembea ya Jamaica? Alifikia hadi kupokelewa na wanamziki tu lakini yeye yumo!
Usikariri! Nchi ilifungiwa kwa makusudi na magufuli hii.
 
Naunga mkono jitihada za kuifungua nchi, ila sikubaliani na approach inayotumika katika kufanya hivyo.

Ni kweli tunahitaji wawekezaji , ni kweli tunahitaji ajira lakini namna tunavyowatafuta na kushirikiana nao sioni hiyo faida inayosemekena itapatikana.

Tunaweka mazingira mazuri ya uwekezaji ndio , at the expense ya kurisk rasilimali zetu lakini tunachokipata hakilingani na risk yenyewe.

Hizo Multinational Corporations ni wazoefu wa kufanya investments katika developed countries, wanajua namna ya kufanya ili kupata faida.

Wanajua udhaifu wa watendaji na viongozi wa developed countries, na pia wana wataalam lukuki wa namna ya kukwepa kodi , hivyo naamini kabisa kuwa hatutaambulia chochote. Historia ni shahidi na tumeona namna Accacia ilivyotufanya over the years.

Moja ya mambo ambayo wawekezaji hao wanayataka ni upatikanaji kwa urahisi kwa Work Permit.
Sasa kama tunataka watanzania wafaidike na hizo ajira sioni namna gani watafaidika nazo kama wageni nao watafurika kupigania hizo nafasi.

Hao wawekezaji ndio hulalamika kuwa watanzania hawaajiriki kwakua ni wezi, hivyo wanapenda kutoa wafanyakazi nje ya nchi sasa kama watanzania ni wezi, kwanini wageni wanapewa nafasi ya kuwekeza katika nchi ya wezi.

Kwakweli sijawahi kuona nchi ikipata maendeleo kwa njia ya uwekezaji wa Taifa jingine.

Kwa Mfano Rais wa Taifa kubwa kabisa lenye uchumi mkubwa marekani , Bwn Trump katika kipindi cha miaka mi nne alisafiri mara 19 tu katika nchi 24 duniani, sasa Rais wetu kwa miezi sita tu anazo safari zaidi ya 6 unaweza ona miaka yake 10 itakua na safari si chini ya mia na zaidi.

Tunapenda nchi yetu iendelee na ifunguke lakini tujadiliane na kuangalia ni namna gani tunaweza kufanya hivyo na tukanufaika, ila binafsi sioni kama kusafiri sana nje ya nchi ndio suluhu, na pia sioni sana kama Direct Foreign Investment ni suluhu tosha.

Nawasilisha.
[emoji115]
Mlioko karibu naye mwambieni ajifunze kwa Jirani yake Paul Kagame na muda anaokaa ofisini ni mrefu sana. Anaenda pale penye umuhimu mkubwa sana.
Magu mbona hakusafiri na kila kitu kikaenda? Hawa waliopo sasa wote ni wapigaji balaa! Twajajuta na uongozi huu wa kulialia na kokopa!
Waziri wa fedha uko unaangaza macho na kutudanganya nawe ni mpigaji namba moja!!
 
Hivi wewe una elimu gani? Uliwahi kukaa darasani ukanyoosha mkono kujibu swali? Unajiandikia mambo ya kijiweni hapa JF? Kukariri tena nenda kafute ujinga! Hapa ni kutafuta uelewa lakini kumbe wewe hapa unatafuta burudani. Nincompoop!
Tuliza mzuka basi mbona unakuwa kama wewe ndiye jiwe mwenyewe?
 
Mama anazurula Sana,naona ni wakati wa kutafuna makusanyo ya tozo
 
Ulimwengu wa Sasa uhitaji kuzunguka , technology imerahisisha vyote
 
Back
Top Bottom