Hakuna Taifa lililoendelea kwa ziara za Rais Nje ya Nchi

Doooo umempatia haswaaa
 
Nawaona jinsi Sukuma gang mnavyo tokwa na mapovu kwa chuki na mihasira.
 
Umemelaza kila kitu hapo chini,wewe una dhahabu anayetaka atakuja tu,ukimufuata atakupa mashariti anayotaka yeye.
Rais wetu sijui kadanganywa na Nani tu! Maana aliona kila kitu JPM alivyofanya.
Au wanafikiri alikuwa mwehu.
Wachana na habari za mwendazake ongelea mambo ya sasa ya awamu ya 6
 
Kwahiyo "chuma" kirudi mkuu?
 
Popote duniani. Nchi huendelezwa na wananchi wake. Hakuna mtu atakayetoka nchi nyingine kuwaendeleza. Sijawahi kusoma sehemu ambayo nchi iliendelezwa na nchi nyingine ikabaki salama. Afrika Kusini ni mfano hai. Ila viongozi wa Tanzania wanafanya hivi kwa sababu hawana pressure yoyote kutoka kwa wananchi. Wananchi wamejikalia na kuridhika na ufukara unaowaandama. Ila siku ikitokea (na lazima hiyo siku itafika kama nchi ikiendelea kuendeshwa inavyoendeshwa sasa) wananchi wakachoka, basi nchi itarudi nyuma tuanze tena upya.
 
Foreign Direct Investment ni muhimu katika kuzalisha ajira, hebu tuambie strategy gani wewe unaweza kuitumia kupromote ajira?

#Mama zunguka tuletee wawekezaji vijana wapate ajira,waoe wawe na familia na wao wawekeze waajiri wengine.
Hii ni statement ya wajinga tu! Bahati mbaya sana wajinga wameanza kuwa wengi nchini pamoja na vyuo kuongezeka. thrd inauliza ni nchi gani unayoifahamu kwamba imeendelea kwa foreign investment? Au unayasikia maneno hayo mara nyingi kwa kiingereza, nawe unaamini kuna watu wa aina hiyo.

Yaani mtu aje TZ kuwekeza, azalishe anachokitaka na kuuza kwa faida, halafu akuachie cha maana ili nawe uendelee! That is stupidity of highest level. Ni maneno matamu ya kurudisha ule ukoloni wa kutafuta vyanzo vya malighafi toka makoloni.
 
We ni dogo lakini umesema ya maana sana. Yaani kadri anavyojimwaga nchi za watu ndo anadharaulika. Baadaye ataanza kuhongwa suti na kupokelewa na wanamziki kama Kiwete. Tatizo wanaomzunguka wanafaidika na safari na huenda wanamwambia we endelea tu ili ufahamike.
 


Mimi bado sijaelewa kwanini kuna watu wana ushamba wa kupinga safari. Kitu cha maana ni safari za nini mfano Museveni kaja mara ngapi Tanzania? ni kwasababu kuna mradi muhimu kwa nchi yake. Egypt wamemwalika Raisi Samia lakini kuna mradi muhimu wa bwawa la nyerere! sio vizuri kukataa mwaliko bila sababu. Hivyo ni ushamba kuhoji safari hasa za kitaifa ni kutokujua.
 
Kwa hiyo kwa safari hizi tutafaidika sana? Atamzidi Kiwete kufika kwenye mabembea ya Jamaica? Alifikia hadi kupokelewa na wanamziki tu lakini yeye yumo!
Usikariri! Nchi ilifungiwa kwa makusudi na magufuli hii.
 
[emoji115]
Mlioko karibu naye mwambieni ajifunze kwa Jirani yake Paul Kagame na muda anaokaa ofisini ni mrefu sana. Anaenda pale penye umuhimu mkubwa sana.
Magu mbona hakusafiri na kila kitu kikaenda? Hawa waliopo sasa wote ni wapigaji balaa! Twajajuta na uongozi huu wa kulialia na kokopa!
Waziri wa fedha uko unaangaza macho na kutudanganya nawe ni mpigaji namba moja!!
 
Hivi wewe una elimu gani? Uliwahi kukaa darasani ukanyoosha mkono kujibu swali? Unajiandikia mambo ya kijiweni hapa JF? Kukariri tena nenda kafute ujinga! Hapa ni kutafuta uelewa lakini kumbe wewe hapa unatafuta burudani. Nincompoop!
Tuliza mzuka basi mbona unakuwa kama wewe ndiye jiwe mwenyewe?
 
Mama anazurula Sana,naona ni wakati wa kutafuna makusanyo ya tozo
 
Ulimwengu wa Sasa uhitaji kuzunguka , technology imerahisisha vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…