USA,UK,SPAIN, FRANCE, GERMANY.NK!! haya mataifa yako juu leo mpaka kesho! ajili ya Foreign investment!! ikiwa ni pamoja na Slave trade iliwanyanyua sana!! angalia mataifa yooote Duniani super powers walifuga watumwa na walikuwa na invetment Abroad!!
Reli ya kati iliwekwa ajili ya kusafirisha Maligahfi Ulaya!!!! gharama zoote zile za uendeshaji na reli ilipita katikati ya Mashamba ya mikonge!! nchi ambazo hazikuwekeza nje ya nch zao!! km falme za kiarabu zilipoteza u-super power wao!!
Kwa mfano Oman, haikuwa na makoloni, ni maskini tu mpaka leo!...Huyo Bwana Trump wako huyo ni kitukuu cha wawekezaji sugu!! wa kale yeye anakula Matunda tu!! Leo hii sudani ya kusini imemegwa ajili ya uwekezaji wa ndani wa Mafuta!! kati ya china na USA!
Msumbiji kuna vita ya ndani ajili ya uwekezaji wa kuchimba mafuta!...sioni tatizo km wao wanakuita uende kwao si wana kuhitaji!!!..... km watataka kuwekeza wao ni kuwapa masharti tu! sisi siyo kisiwa!
kulinganisha taifa la USA na TZ, ni sawa na kumlinganisha Maza house mzuri na H/girl! hta iweje TZ italihitaji USA!! Kuliko USA inavo hitaji TZ!!.....H/girl anamuhitaji Maza House ili aendelee apate na hela ya kutuma kwao!! kuliko maza house anavo muhitaji kumtunzia nyumba yake!!
Ok!! hamtaki wawekezaji waje!! haya wekezeni nyie!! limeni. chimbeni dhahabu zenu, zalisheni viwandani kwenu....na je hayo mazao mtamuuzia nani??....ok! labda mtatumia wenyewe!!! je Hela mna fyatulia wapi? Bukoba au???
OK! dhahabu mnachimba nyie wenyewe mtazifanyia nini??? zaidi ya urembo!.....Dawa za Hosp mtatoa wapi bila hao majamaa!!...... Matrekta ya kulimia na madawa mashambani mnavyo??? mwekezaji akija si anakusogezea kiwanda cha Matrekta? Madawa!! nk..
Labda cha msingi ungesema anakuja kuwekeza nini??...sisi siyo kisiwa tunahitaji watu wengine km wao wanavyotuhitaji! yuwa heshimu ebu nikuulize mbona ndg zenu wengi tu wako Ulaya?? na wanatuma hela huko?? je wapigwe beat?? wawakatae??
na ukifika Ulaya ni speed yako tu!! kuna wengi hawataki hata kurudi huko! km Mange Kimambi! nyie mnatamani kwa wenzenu lkn nyie wakija mna nuna huo ni uchoyo wa asili!!! sababu tu mnaona wengine wanapata!!!
Magari yao, ndege zao, Lami zao, baiskel zao jamni hee!! Radio zao mnasikiliza weee!! viwanda vyao vivyomo nchini kwenu mnatumia mnajichekesha weeee!! vijimeno vyeupe tena bila aibu!! wala sony!! no made from africa!! ni nje tupu mpaka chupi ulio vaa hapo ulipo!!
sasa mtu km huyu anakusogezea huduma karibu na kwa bei rahisi!!!! hutaki!!!! heee!! wajameni....Ok! Cameroon aliwahi sema kwamba basi waafrica Oleweni mkalia lia weee!! tuu mpaka leo!!,,watu km wewe ndo walisababisha haya! waafrica mlie lie!! oleweni tu!
km hamtaki kuliwa basi na nyie msile!!!....na mkiugua msije huku Ulaya kutibiwa kaeni huko huko mfe kama jiwe!!....kila mtu afe na chake tuone nani zaidi..........Jiwe ange wahi Ulaya tu angepona! lkn sasa kiburi cha kijinga na umimi wa kizamani km huu wako!