Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji

Haya ni matokeo ya mwendazake "kulichonga bunge" alitaka kulichonga bunge ili limuongezee muda wa kutawala!??unategemea mbunge aliyeshindwa kura za maoni akapewa feva na marehemu ataikosoa serikali!?? Never!!!
In short tuqaondoa wabunge mahiri wa upinzani bungeni kutatukost sisi walalahoi bila kujali itikadi zetu
 
MUNGU akapita naye
 

Hiyo njia japo ni nzuri kwa mteja ktk kufanikiwa shida yake tatizo lipo kwa wakala kupata % yake kupitia account yake hatopata mrajaa wake amabao ni kama Malipo kwake anapokua anahudumia mteja
 
Katika maamuzi ya hovyo niliyowahi kushuhudia ni hili la tozo za Mpesa na hiyo mafuta kuongeza kodi wakati soko la dunia mafuta yapo bei ya kawaida kipindi hiki uzalishaji upo chini...wanasimamisha uchumi kwa Mpesa wakati tupo kwenye janga la Corona kazi imewashinda basi tuu...
 
Itoshe kusema Tanzania ni failed state. Tunaendelea kuthibitisha hilo kila uchwao.
Tuna "mavi"ongozi yanaongoza nchi.
Hii Nchi ni kiboko maamuzi ya kuumiza Wananchi wao kila kukicha na wao wanaona sahihi kabisa..
 
Ukitaka kutuma pesa kwa mtu mwambie akupe namba ya wakala, mtumie weka kwa wakala, wakala atampa cash mkononi bila kutoa.

Inabidi tuwaonyeshe hawa fisi kuwa sisi ndio watumiaji wa hii mitandao sio wao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…