Hakuna tena Mahubiri ya habari njema, kuacha dhambi, msisitizo ni matoleo

Yapo kwa wingi sema tu unaingia makanisa ya wazinzi.
Ukija kwa pastor Joshua Mwembeyanga ndipo utayakuta hayo mahubiri.
Unaweza kuabudu huku mwaka mzima usisikie mahubiri ya sadaka.
Hata mahubiri ya kurudi kwa yesu kwa mara ya pili hakuna siku hizi[emoji29][emoji29], wanahubiri maendeleo,mali,utajiri na mengineyo ya dunia pekee .
 
Umenifanya nicheke kwa sauti kubwa,
 
Unapaswa kutunza watu wa nyumbani kwako kabla ya kujali wajane.
Asiyetunza wa kwao ni mbaya kuliko asiyeamini.
 
Asante kwa andiko zuri, siku hizi wachungaji /manabii/mitume, nk. wengi wao ni pesa kwanza MUNGU baadaye, wanasahau 1Timotheo 6:5 wameufanya ukristo ni njia ya kujipatia faida.
 
Mkuu,

Kuna kipindi watu karibubdunia nzima waliamini dunia ni ya ubapa (flat).

Lakini watu kuamininhivyo, hakukufanya dunia iwe flat.

Kama.Mungu hayupo, hata kila mtu akiamini Mungu yupo, hilo halifanyi Mungu awepo.

Thibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
 
Tatizo la mfumo wa udikteta, hata watu wakiwa na maono, wengi wanaogopa kuyasema.
 
Ni kama kipindi hiki tuu ww (na member wote humu) tunavoamini jamii forum ipo na kwamba ww n member wa humu ndani lkn nataka nikwambia JF haipo na kama unabisha thibitisha uwepo wake😇😇🤕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…