hakuna tena ugumba wala utasa duniani

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,215
huku wanawake duniani wakipata tabu kushika mimba.madaktar nchini uswiz wamefanikiwa kuhamisha mfuko wa kizazi toka kwa mama kwenda kwa mwanaye ambaye aliolewa na kushindwa kushika mimba.imeelezwa kama mimba hiyo itazaliwa tatizo la ugumba kwisha.
 
Hatua za kisayansi ni kubwa na madaktar pekee ndo wanaweza kukomenti haya matokeo
 
Sisi tuko bise na bibi anayetaka kugeuza gesi kuwa maji!lo wenzetu wako kwenye utafiti utafiti na sio uchawi
 
Sisi tuko bise na bibi anayetaka kugeuza gesi kuwa maji!lo wenzetu wako kwenye utafiti utafiti na sio uchawi

hahaha...umenifurahisha mkuu...na umeongea jambo sahihi kabisa.
 
duh! ama kweli huku kwetu tatzo la mimba pekee mashuleni linatutoa meno mpaka serikali inadata ..7th world countries.
 
Sisi tuko bise na bibi anayetaka
kugeuza gesi kuwa maji!lo
wenzetu wako kwenye utafiti
utafiti na sio uchawi,
Hilo nalo neenoo..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…