wewe ni wa kupuuza tuHuu ni ukweli Tanzania Hakuna timu ambayo inaweza kuleta kombe lolote la africa zaidi ya yanga
Yanga ndo timu kubwa Tanzania...
Ajabu ni kwamba Yanga itakayoleta kombe imewasajili wachezaji wa Vita Club kwa wingi wakati hao wachezaji wamekuwa wakiishia robo fainali... hawa wengine watakuwa kama vita club tu kila mara kufika kwenye robo au wanaweza kufika final lakini kombe hawapati
Yanga ndo fahari ya Tanzania
Umeshakula mihogo au njaa ndiyo inakutuma?Huu ni ukweli Tanzania Hakuna timu ambayo inaweza kuleta kombe lolote la africa zaidi ya yanga
Yanga ndo timu kubwa Tanzania
Kama real madrid alivyo timu kubwa Spain
Na wengine wengi
Apa na ongelea ukubwa wa makombe ya ndani
Kwa hiyo basi Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya africa ili walete heshima ya nchi hawa wengine watakuwa kama vita club tu kila mara kufika kwenye robo au wanaweza kufika final lakini kombe hawapati
Yanga ndo fahari ya Tanzania
Na nina fikiri uko mbele hakuna miaka zaidi ya moja yanga hawajajua jinsi gani ya kucheza michuano ya kimataifa
Wewe kula mihogo huko ulale.Sisi apa Nyumbani Yanga hatuwawezi wameanza kutufunga tangu ligi Ina anzishwa 1965 kwasasa tunajivunia kombe letu la kufika group stage [emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna wengine wanajivunia kombe la unbeaten match 44 [emoji23][emoji23]Sisi apa Nyumbani Yanga hatuwawezi wameanza kutufunga tangu ligi Ina anzishwa 1965 kwasasa tunajivunia kombe letu la kufika group stage [emoji1][emoji1][emoji1]
Bora kufa kwa kutetea Yesu kwani anaweza kukufufua siku za mwisho kuliko kufa ukitetea simba na yanga wanaotegemea uchawiHuu ni ukweli Tanzania Hakuna timu ambayo inaweza kuleta kombe lolote la africa zaidi ya yanga