Hakuna timu ambayo ina uwezo wa kuleta kombe la Africa Tanzania zaidi ya Yanga

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Huu ni ukweli Tanzania Hakuna timu ambayo inaweza kuleta kombe lolote la africa zaidi ya yanga
Yanga ndo timu kubwa Tanzania.

Kama real madrid alivyo timu kubwa Spain
Na wengine wengi
Apa na ongelea ukubwa wa makombe ya ndani

Kwa hiyo basi Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya africa ili walete heshima ya nchi hawa wengine watakuwa kama vita club tu kila mara kufika kwenye robo au wanaweza kufika final lakini kombe hawapati

Yanga ndiyo fahari ya Tanzania

Na ninafikiri uko mbele hakuna miaka zaidi ya moja yanga hawajajua jinsi gani ya kucheza michuano ya kimataifa
 
Yaani hujui kuwa Tanzania ni kichwa mwendawazimu.

Hakuna cha Simba wala Yanga wote wananyolewa ila muda wa kunyolewa unatofautiana.

Mimi sio shabiki wa mpira ila Simba na Yanga ni sababu ya watanzania wengi kuwa na uwezo mdogo wa kufukiri kuhusu maendeleo ya maisha yao.
 
Sisi hapa Nyumbani Yanga hatuwawezi wameanza kutufunga tangu ligi Ina anzishwa 1965 kwasasa tunajivunia kombe letu la kufika group stage [emoji1][emoji1][emoji1]
 
1667471538018.png
 
Attachments

  • 1667471538167.png
    1667471538167.png
    166.9 KB · Views: 6
Huu ni ukweli Tanzania Hakuna timu ambayo inaweza kuleta kombe lolote la africa zaidi ya yanga
Yanga ndo timu kubwa Tanzania
Kama real madrid alivyo timu kubwa Spain
Na wengine wengi
Apa na ongelea ukubwa wa makombe ya ndani

Kwa hiyo basi Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya africa ili walete heshima ya nchi hawa wengine watakuwa kama vita club tu kila mara kufika kwenye robo au wanaweza kufika final lakini kombe hawapati
Yanga ndo fahari ya Tanzania

Na nina fikiri uko mbele hakuna miaka zaidi ya moja yanga hawajajua jinsi gani ya kucheza michuano ya kimataifa
Umeshakula mihogo au njaa ndiyo inakutuma?
 
Sisi apa Nyumbani Yanga hatuwawezi wameanza kutufunga tangu ligi Ina anzishwa 1965 kwasasa tunajivunia kombe letu la kufika group stage [emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna wengine wanajivunia kombe la unbeaten match 44 [emoji23][emoji23]
 
Huu ni ukweli Tanzania Hakuna timu ambayo inaweza kuleta kombe lolote la africa zaidi ya yanga
Yanga ndo timu kubwa Tanzania
Kama real madrid alivyo timu kubwa Spain
Na wengine wengi
Apa na ongelea ukubwa wa makombe ya ndani

Kwa hiyo basi Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza michezo ya africa ili walete heshima ya nchi hawa wengine watakuwa kama vita club tu kila mara kufika kwenye robo au wanaweza kufika final lakini kombe hawapati
Yanga ndo fahari ya Tanzania

Na nina fikiri uko mbele hakuna miaka zaidi ya moja yanga hawajajua jinsi gani ya kucheza michuano ya kimataifa
Bora kufa kwa kutetea Yesu kwani anaweza kukufufua siku za mwisho kuliko kufa ukitetea simba na yanga wanaotegemea uchawi
Kalpana
 
Back
Top Bottom