Hakuna timu Duniani ambapo mdhamini kaweka pesa nyingi kushinda mwekezaji

Hakuna timu Duniani ambapo mdhamini kaweka pesa nyingi kushinda mwekezaji

Ilikuwa ni lazima isubiriwe ya Mabingwa watetezi wataje yao ili walete formula yao.

Nani hakuona hili?

Cha ajabu imekuja formula ambayo haijawahi tokea duniani kote.

Yaani sponsorship deal izidi kiasi cha thamani za hisa zilizoo wekwa klabuni?

Niacheni kidogo ndugu zangu. Kama ni mchanga basi ni ule wa saa 9 tena wa kando ya bahari. Thamani halisi haionekani kwa mbwbwe za mbele ya kamera, bali kile kinachoakisiwa.

Mficha Maradhi, kifo humuumbua

Note: "Huu uzi hauna uhusiano na Mamipira."

Picha hazina uhusiano kabisa na mada hapo juu.

View attachment 2311368View attachment 2311369
mmmh[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Makolo waongo sana, wanapenda sana kushinda a na Mabingwa wa nchi.. Wakiona Yanga wamefanaya hili la kunoga basi na wao watatafuta lolote ili wajifanye kuwapiku Yanga..
Hizi ni pesa maandishi tu kama zile billion 20 tulizozizoea😁😁
 
Kachanganyikiwa, hapo ameandika uzi wake huku analia na leso imeloa mkononi.
Anaumia kwasababu ya michongo na chupli zenu
Mbona mliposaini hamkutangaza mbele ya camera?
Mlisubiri yanga itangulie ili mje na uwongo uliotukuka
 
£ 1.476B
Haya eleza lingine.
Lingine ni kwamba mpaka Glazzer anamaliza kununua hisa zote man utd 98% alikuwa katumia £800M tuuu, lakini mkataba wake na Adidas kavuta £ 750M kwa udhamini wa miaka 10 tuu,hivyo bei ya kununua club unaweza kupitwa bila tabu yeyote, watu wasishangae MO kulipa 20B kwa 49% na M bet kuweka 26.1B udhamini, hata Jesus kasajiliwa pesa nyingi kuliko thamani ya pesa ya mshindi wa EPL
 
apo umenena aiwezekani kanjibai aweke b20 kwa muda usio julilikana alafu kwenye jez yetu amejaza makolokolo kibao alafu anahisa49 wakat huohuo m-bet katangazo kamoja makolo tumekula b26 bila kumiliki hisi
HUYU KANJIBAY NI TAPELI
Ulivyo mjinga unashindwa kufahamu kwamba 20B ni kwa 49% huku 26B ni kwa 100% halafu simba ina value kubwa kwa sasa kuliko kipindi kile
 
Mimi kwa elimu yangu ndogo ya biashara.

Mo wakati anaichukua Simba haikua na thamani hiyo so aliweka 20B kipindi hiko simba ilikua kubwa jina ila haikua na mafanikio makubwa au mafanikio yake yalikua ni historia timu ilikua na hali mbaya.

So akabadili muundo wa timu na kuweka pesa kununua wachezaji wazuri na kuifamya timu kua tishio ikiwemo kufika robo mara 2 na kuzifunga timu kubwa Al ahly na wengine ikawa timu tishio hapo sasa..ni sawa na kununua nyumba kuukuu ukaipiga rangi na kuifanyika ukarabati basi huwezi ukaja kuuza kwa bei ile ile uliyonunulia basi ndo sawa na mkataba..

Simba aliyoichukua Mo kwa 20B japo inaonekana ndogo huwezi kuifananisha na Simba ya sasa.

NB: Nimetolea mfano ila sina hakika na hizo 20B
Umedadavua vema ,simba ya miaka mitano iliyopita ilikuwa haijulikani duniani,leo ni ya 12 afticq
 
Mo alikuja na Hundi mwaka 2021 mkuu na sio mwaka 2017. Sasa jiulize kwanini mwaka jana na sio 2017??
Hivi ni kweli ukiwa Yanga lazima uwe Mjinga Mjinga?

Wakati Abrahimovic ananunua hisa 50% za Chelsea mwaka 2004 alitoa £30 ila baada ya kupita muda mfupi tu ukaamua kununua hisa zote na ikamgharimu £110

Kwa lugha nyepesi ni kwamba yeye mwenyewe ndio aliongeza thamani ya Chelsea, maana hisa thamani zake zinapanda kila mwaka, kwahiyo angenunua hisa 50 zilizobakia Kwa £30 tena ila kwanini alitoa £110?

Wakati Mo ananunua hisa 49% Kwa 20b ni thamani ya wakati huo na sio Leo hii, kuna mtu atakuja kununua hisa 10% na atatoa zaidi ya ile 20b ya Mo Kwa sababu thamani inachange

Mo mfanyabiashara mkubwa sana kwahiyo yeye Mambo ya hisa anayajua vizuri na alikuwa mjanja kutoa 20b Kwa 49% ila Kwa kipindi hicho ilionekana hela nyingi, zile 51% za Simba zilizobakia Kwa Leo hii utakuta zina thamani ya 80b

Manji aliwahi kutaka kuninunua Yanga Kwa 10b tu, sio kununua hisa Bali kununua Yanga, na wengine walikubali Kwa sababu kipindi hicho ilionekana ni hela nyingi ila Leo hii ni hela ndogo Kwa sababu thamani inapanda, Leo hii kwakuwa inatokea Simba mnajifanya kujua kweli Mambo

Na Jambo la kushangaza hivi ni lini Yanga mkaitakia mema Simba? Yani waibiwe Simba ila mnaoshona vijora na kukaa eda ni Yanga...! Wakuu kaeni mfurahie 12.3b za Yanga Kwani mnapungukiwa nini, si kila mtu apambane na chake
 
Ilikuwa ni lazima isubiriwe ya Mabingwa watetezi wataje yao ili walete formula yao.

Nani hakuona hili?

Cha ajabu imekuja formula ambayo haijawahi tokea duniani kote.

Yaani sponsorship deal izidi kiasi cha thamani za hisa zilizoo wekwa klabuni?

Niacheni kidogo ndugu zangu. Kama ni mchanga basi ni ule wa saa 9 tena wa kando ya bahari. Thamani halisi haionekani kwa mbwbwe za mbele ya kamera, bali kile kinachoakisiwa.

Mficha Maradhi, kifo humuumbua

Note: "Huu uzi hauna uhusiano na Mamipira."

Picha hazina uhusiano kabisa na mada hapo juu.

View attachment 2311368View attachment 2311369
Utataga , wee taga tu maana siyo kwa mahangaiko haya. Ukisikia jina mnyama Simba kinyesi kinagonga pichu.
 
Wakati Yanga inapokea Hundi ya bilion 12 kutoka sportpesa, wengine wamepokea tshet iliyoprintiwa bilion 26

Wakiamini ni billion 26 kweli.[emoji23][emoji23]
Nani alokwambia unapewa zote kwa mkupuo mmoja, uzuzu😂 Ile Ni mfano wahundi, Nani alokwambia Ile Ni hundi halisi? 😂😂

Ile jezi Ni kitu kinafanyika duniani kote, Hata ktk usajili.

Mkataba wa yanga na spotipesa Ni wa kihistoria haijapata kutokea😂😂😂

Bilion 26.1 zimeingia, Hakuna kitakachobadilika, Hata mkipangusaaaaaa vinyesi vyote mkajipaka.

Btw Hakuna utopolo mwenye akili.
 
Back
Top Bottom