ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Ibadili $ kwenda £ halafu rudi hapaSamahani kidogo mkuu hiyo ndio hii au...??View attachment 2311570
£ 1.476BIbadili $ kwenda £ halafu rudi hapa
mmmh[emoji16][emoji16][emoji16]Ilikuwa ni lazima isubiriwe ya Mabingwa watetezi wataje yao ili walete formula yao.
Nani hakuona hili?
Cha ajabu imekuja formula ambayo haijawahi tokea duniani kote.
Yaani sponsorship deal izidi kiasi cha thamani za hisa zilizoo wekwa klabuni?
Niacheni kidogo ndugu zangu. Kama ni mchanga basi ni ule wa saa 9 tena wa kando ya bahari. Thamani halisi haionekani kwa mbwbwe za mbele ya kamera, bali kile kinachoakisiwa.
Mficha Maradhi, kifo humuumbua
Note: "Huu uzi hauna uhusiano na Mamipira."
Picha hazina uhusiano kabisa na mada hapo juu.
View attachment 2311368View attachment 2311369
Anaumia kwasababu ya michongo na chupli zenuKachanganyikiwa, hapo ameandika uzi wake huku analia na leso imeloa mkononi.
Lingine ni kwamba mpaka Glazzer anamaliza kununua hisa zote man utd 98% alikuwa katumia £800M tuuu, lakini mkataba wake na Adidas kavuta £ 750M kwa udhamini wa miaka 10 tuu,hivyo bei ya kununua club unaweza kupitwa bila tabu yeyote, watu wasishangae MO kulipa 20B kwa 49% na M bet kuweka 26.1B udhamini, hata Jesus kasajiliwa pesa nyingi kuliko thamani ya pesa ya mshindi wa EPL£ 1.476B
Haya eleza lingine.
Ulivyo mjinga unashindwa kufahamu kwamba 20B ni kwa 49% huku 26B ni kwa 100% halafu simba ina value kubwa kwa sasa kuliko kipindi kileapo umenena aiwezekani kanjibai aweke b20 kwa muda usio julilikana alafu kwenye jez yetu amejaza makolokolo kibao alafu anahisa49 wakat huohuo m-bet katangazo kamoja makolo tumekula b26 bila kumiliki hisi
HUYU KANJIBAY NI TAPELI
Vipi wamekwenda Marekani ?Tuanzie hapo.Kila nikiona comment yako nakumbuka ulivyotudanganya afya ya JPM kipindi kile.
Umedadavua vema ,simba ya miaka mitano iliyopita ilikuwa haijulikani duniani,leo ni ya 12 afticqMimi kwa elimu yangu ndogo ya biashara.
Mo wakati anaichukua Simba haikua na thamani hiyo so aliweka 20B kipindi hiko simba ilikua kubwa jina ila haikua na mafanikio makubwa au mafanikio yake yalikua ni historia timu ilikua na hali mbaya.
So akabadili muundo wa timu na kuweka pesa kununua wachezaji wazuri na kuifamya timu kua tishio ikiwemo kufika robo mara 2 na kuzifunga timu kubwa Al ahly na wengine ikawa timu tishio hapo sasa..ni sawa na kununua nyumba kuukuu ukaipiga rangi na kuifanyika ukarabati basi huwezi ukaja kuuza kwa bei ile ile uliyonunulia basi ndo sawa na mkataba..
Simba aliyoichukua Mo kwa 20B japo inaonekana ndogo huwezi kuifananisha na Simba ya sasa.
NB: Nimetolea mfano ila sina hakika na hizo 20B
sio mwiko huo wa kusongea ugaliHuo mwiko huko nyuma mnaufurahia nini?
NGUVU MOJA....
Hivi ni kweli ukiwa Yanga lazima uwe Mjinga Mjinga?Mo alikuja na Hundi mwaka 2021 mkuu na sio mwaka 2017. Sasa jiulize kwanini mwaka jana na sio 2017??
Utataga , wee taga tu maana siyo kwa mahangaiko haya. Ukisikia jina mnyama Simba kinyesi kinagonga pichu.Ilikuwa ni lazima isubiriwe ya Mabingwa watetezi wataje yao ili walete formula yao.
Nani hakuona hili?
Cha ajabu imekuja formula ambayo haijawahi tokea duniani kote.
Yaani sponsorship deal izidi kiasi cha thamani za hisa zilizoo wekwa klabuni?
Niacheni kidogo ndugu zangu. Kama ni mchanga basi ni ule wa saa 9 tena wa kando ya bahari. Thamani halisi haionekani kwa mbwbwe za mbele ya kamera, bali kile kinachoakisiwa.
Mficha Maradhi, kifo humuumbua
Note: "Huu uzi hauna uhusiano na Mamipira."
Picha hazina uhusiano kabisa na mada hapo juu.
View attachment 2311368View attachment 2311369
Nani alokwambia unapewa zote kwa mkupuo mmoja, uzuzu😂 Ile Ni mfano wahundi, Nani alokwambia Ile Ni hundi halisi? 😂😂Wakati Yanga inapokea Hundi ya bilion 12 kutoka sportpesa, wengine wamepokea tshet iliyoprintiwa bilion 26
Wakiamini ni billion 26 kweli.[emoji23][emoji23]