Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jan 10, 2022 Thread starter #21 Underwood said: Ndiyo. Dakika za mwisho kabisa alitoka Edou Mendy ambaye nafasi yake ilichukuliwa na Kepa Arizabalaga. Kepa aliokoa penati zilizopelekea Chelsea kushinda taji. Click to expand... Bahatisha Ndulute
Underwood said: Ndiyo. Dakika za mwisho kabisa alitoka Edou Mendy ambaye nafasi yake ilichukuliwa na Kepa Arizabalaga. Kepa aliokoa penati zilizopelekea Chelsea kushinda taji. Click to expand... Bahatisha Ndulute
B babu na mjukuu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2016 Posts 3,916 Reaction score 6,697 Jan 10, 2022 #22 Erythrocyte said: Huu ndio ujinga ambao wameufanya Yanga kwenye Mapinduzi cup dhidi ya Azam na imewagharimu . Hata hivyo inadaiwa Yanga walikuwa hawataki kukutana na Simba kwenye fainali Click to expand... Uchawi
Erythrocyte said: Huu ndio ujinga ambao wameufanya Yanga kwenye Mapinduzi cup dhidi ya Azam na imewagharimu . Hata hivyo inadaiwa Yanga walikuwa hawataki kukutana na Simba kwenye fainali Click to expand... Uchawi
M mulikatz Member Joined Dec 11, 2021 Posts 18 Reaction score 16 Jan 10, 2022 #23 Erythrocyte said: Huu ndio ujinga ambao wameufanya Yanga kwenye Mapinduzi cup dhidi ya Azam na imewagharimu . Hata hivyo inadaiwa Yanga walikuwa hawataki kukutana na Simba kwenye fainali Click to expand... Topolo umetopoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Erythrocyte said: Huu ndio ujinga ambao wameufanya Yanga kwenye Mapinduzi cup dhidi ya Azam na imewagharimu . Hata hivyo inadaiwa Yanga walikuwa hawataki kukutana na Simba kwenye fainali Click to expand... Topolo umetopoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Jan 11, 2022 #24 Hivi ile ya van gaal holanzi haikushinda au nimesahau.
kitonger JF-Expert Member Joined Jan 31, 2020 Posts 1,164 Reaction score 1,533 Jan 11, 2022 #25 TIM KRUL
mgunga pori JF-Expert Member Joined Jul 23, 2016 Posts 4,092 Reaction score 4,896 Jan 11, 2022 #26 Waulize Holland ya van gaal kule Brasil waliweza Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Waulize Holland ya van gaal kule Brasil waliweza Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,923 Reaction score 7,048 Jan 11, 2022 #27 Na mimi ndio Mustafa Yasini sasa......