Hakuna timu iliyowahi kushinda Mikwaju ya Penati baada ya kubadilisha golikipa dk za mwisho

Hakuna timu iliyowahi kushinda Mikwaju ya Penati baada ya kubadilisha golikipa dk za mwisho

Ndiyo.
Dakika za mwisho kabisa alitoka Edou Mendy ambaye nafasi yake ilichukuliwa na Kepa Arizabalaga.

Kepa aliokoa penati zilizopelekea Chelsea kushinda taji.
Bahatisha Ndulute
 
Huu ndio ujinga ambao wameufanya Yanga kwenye Mapinduzi cup dhidi ya Azam na imewagharimu .

Hata hivyo inadaiwa Yanga walikuwa hawataki kukutana na Simba kwenye fainali

Topolo umetopoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ile ya van gaal holanzi haikushinda au nimesahau.
 
Back
Top Bottom