Hakuna tofauti kati ya Iphone 12 na Iphone 13

Apple bado yupo kwenye category yake peke yake.

Ukiacha android hakuna os nyingine zaidi ya ios.

Sasa mnataka wote waende kutumia android? Kuna watu wanapendelea ios na ecosystem yake.
 
Kwenye swala la kuOverheat naweza kukubaliana nalo maana b4 kipindi natumia s10 simu ilikua haiwi ya moto sana hata nikitumia siku nzima lakini baada ya kununua iphone 12 yani ni masaa mawili tu data ikiwa on simu inakua ya moto sio poa mpk nikawa na wasiwasi nimeuziwa bomu. Ila nnampango wa kurudi android soon.
 
Sisi wa tecno tunasemaje ....







"Kazi iendelee"
 
Samahan Tesla ni nini
 
Samahan Tesla ni nini

Post #47 kakujibu hapo vizuri...ni Kampuni ya Kutengeneza Maghari yanayotumia umeme yaani unacharge badala ya kutumia mafuta. Ni magari ya kisasa ambayo hayana kelele na yanatunza mazingira maana hamna moshi basically kwa kifupi ni hivyo.

CEO wake ni huyo Elon musk ambae ana na Kampuni nyingine ila hiyo ni kampuni yake ya kutengeneza magari ya umeme.. aliyoyaita Tesla kutokana na Jina la Jamaa aliegundua umeme mtitiriko”sijui ndio kiswahili chake sahih” enzi hizo Mwanasayansi Nikola Tesla so Tesla ikaja hapo kutoka jina la jamaa. Natumai nmekujibu
 
Apple bado yupo kwenye category yake peke yake.

Ukiacha android hakuna os nyingine zaidi ya ios.

Sasa mnataka wote waende kutumia android? Kuna watu wanapendelea ios na ecosystem yake.
Nadhani hoja hapa sio os, hoja ni hardware. Malalamiko ya watu kwa apple mengi yamejikita kwenye hardware na sio os.
 
Kiongozi! Inawezekana features nyingi zinafanana. Kitu cha kawaida sana. Huwezi fanikiwa kwenye biashara kwa kuleta kitu kipya kabisa. Lazima kuwe na trade-offs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…