Hakuna tofauti kati ya kilichotokea kwa Benard Morrison na Chama

Mukua

Senior Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
157
Reaction score
203
Wakati Morrison alipo hamia Simba sc, viongozi wa Yanga walibaki kuwafariji wanachama na mashabiki wao kuwa Hilo ni swala la muda na wange mrudisha kwa gharama ya aina yoyote ile, matokeo yake wakatumia gharama nyingi Hadi kwenye mahakama ya Cas ,matokeo kesi ika wabwaga.

Yote hiyo ni kwa sababu Morrison alikuwa Bora na muhimu Sana kwao. Leo hadithi Kama hiyo imehamia upande wa pili, viongozi wa Simba kwa matakwa yao na mapenzi yao waluamua kumuuza Clatous Chota Chama kwenye klabu ya huko Morroco.

Na kwa sababu walitambua kuwa Chama alikuwa NI kipenzi Cha Wana Msimbazi, nao sasa wamebaki tu kuwa fariji kuwa watamrudisha kwa gharama yoyote ile.

Hizo ni siasa za mpira acheni kuwafariji mashabiki wenu badala yake muwaambie ukweli tu kuwa huyo sio wa Simba Tena Ila jitihada zinafanyika ili kumpata mwingine anaye weza kiliziba pengo lake au hata kumzidi alivyo kuwa. Msiache tetesi hizi za Chama kurudi zikaendelea mwisho wa siku Zita wafikisha kwenye mghgoro na mashabiki wenu. Kisa Cha Clatous na Bernard NI Visa mapacha.
 
Kwani utopoloni hakukuwa na hizo habari za chama kuja yanga?

Au umesahau zile posts za msukule kule IG na morale aliyowapa mashabiki wa uto kua engineer kashamaliza kufanya malipo na sasa anasubiria press kumtangaza official?

Umesahau ni utopromax ambao hawajaanza leo kumtolea udende chama na mwaka jana walim edit akiwa amevaa jezi ya yanga na picha ikapostiwa kwenye official page ya uto?

Uongozi wa simba haujawahi kusema kwamba chama anarejea, haya ni maneno ya mashabiki na namna ambavyo wanaamua kuwajibu uto

Nakumbuka ni try again alisema kwamba "wakati chama anaondoka aliondoka kwa baraka zote za club na aliambiwa muda wowote utakapohitaji kurudi basi milango ipo wazi"
 
Ubora wa Morrison ulifanya viongozi wa Yanga kuwaongopea mashabiki wao kuwa wange mrejesha kwa gharama yoyote ile matokeo yake Hadi sasa Morrison anatumika unyamani ( Simba sc ).

Viongoziwa Simba waluamua kumuuza Clatous , lakini kwa sababu Wana tambua kuwa alikuwa NI kipenzi Cha Wana Msimbazi nao wamekuja na hadithi ile ile kuwa Clatous atarudi Msimbazi kwagharama yoyote ile.

Ifike Mahali siasa zikomeshwe kwenye mpira wetu.
 
Ila Kama sikoaei siku ile kwenye mkutano mkuu nilitaka kusikia kuwa pesa ipo na Kama anahitajika mchezaji yeyote yule hata Kama ni Chama atasajiliwa ndo maana nikasema hizi ni Kama siasa kwenye mpira wetu na tusipo kuwa makini zitatufikisha pabaya
 
Ila Kama sikoaei siku ile kwenye mkutano mkuu nilitaka kusikia kuwa pesa ipo na Kama anahitajika mchezaji yeyote yule hata Kama ni Chama atasajiliwa ndo maana nikasema hizi ni Kama siasa kwenye mpira wetu na tusipo kuwa makini zitatufikisha pabaya
Mada yako imeonyesha Simba wanafanya siasa kwa Chama,sasa soma post no.2 na uelewe,Sio Simba tu hata Utopwezo walisha laghai minyani yao kuwa Chama kabaki kutangazwa tu pale Utopoloni.
 
Ila Kama sikoaei siku ile kwenye mkutano mkuu nilitaka kusikia kuwa pesa ipo na Kama anahitajika mchezaji yeyote yule hata Kama ni Chama atasajiliwa ndo maana nikasema hizi ni Kama siasa kwenye mpira wetu na tusipo kuwa makini zitatufikisha pabaya
Vingine ni kutumia akili ya kawaida tu, GSM wana pesa ya kutosha ya kusajili wachezaji wazuri wanaowataka, shida ni kuwa Yanga ina wachezaji wa kutosha wa aina ya Chama .
 
Ubora wa Morrison ulifanya viongozi wa Yanga kuwaongopea mashabiki wao kuwa wange mrejesha kwa gharama yoyote ile matokeo yake Hadi sasa Morrison anatumika unyamani ( Simba sc ...
Anzisha uzi mwingine na mwingine na mwingine tena kuhusu mada hii hii maana hujatosheka na ule wa kwanza umekuja kuanzisha mwingine.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
oooh Mo ana tamaa kamuuza Chama timu imekosa kiungo. leo anarudi makelele kibaaaao kama movie ya porn
 
Nilifikiri baada ya majibu ya cas utopolo wangerudisha ufahamu wao kumbe wanazidi kuwa wajinga
 
Kuna Sehemu kiongozi wa Simba amesema Chama atarudi Simba?
 
Kweli mwenye akili utopoloni ni mzee manara na jakaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…