Mukua
Senior Member
- Sep 30, 2021
- 157
- 203
Wakati Morrison alipo hamia Simba sc, viongozi wa Yanga walibaki kuwafariji wanachama na mashabiki wao kuwa Hilo ni swala la muda na wange mrudisha kwa gharama ya aina yoyote ile, matokeo yake wakatumia gharama nyingi Hadi kwenye mahakama ya Cas ,matokeo kesi ika wabwaga.
Yote hiyo ni kwa sababu Morrison alikuwa Bora na muhimu Sana kwao. Leo hadithi Kama hiyo imehamia upande wa pili, viongozi wa Simba kwa matakwa yao na mapenzi yao waluamua kumuuza Clatous Chota Chama kwenye klabu ya huko Morroco.
Na kwa sababu walitambua kuwa Chama alikuwa NI kipenzi Cha Wana Msimbazi, nao sasa wamebaki tu kuwa fariji kuwa watamrudisha kwa gharama yoyote ile.
Hizo ni siasa za mpira acheni kuwafariji mashabiki wenu badala yake muwaambie ukweli tu kuwa huyo sio wa Simba Tena Ila jitihada zinafanyika ili kumpata mwingine anaye weza kiliziba pengo lake au hata kumzidi alivyo kuwa. Msiache tetesi hizi za Chama kurudi zikaendelea mwisho wa siku Zita wafikisha kwenye mghgoro na mashabiki wenu. Kisa Cha Clatous na Bernard NI Visa mapacha.