ni mtizamo tu wa jamii, japo wengi hutafsiri ndoa kama kuashiria, ukomavu, kuhimili mikiki mikiki, busara, kujiheshimu, utulivu, mtu kujitambua na kuwa tayari kubeba majukumu.
Lakini mtazamo huu wa hovyo ulianzia wapi?
ulimbukeni tu wa jamii yetu, ilhali kinachompa heshima mtu ni tabia na mwenendo wake na si ndoa.....
Hute kumbe ndoa ni mikiki mikiki....................!wachangie wale walioko kwenye ndoa tu hapa, manake wengine ambao hamjaingia kwenye ndoa, bado hamjakomaaa, hamuijui mikiki mikiki ya kwenye ndoa ambayo mtu akihimili ataweza kuhimili na mambo mengine mengi....kama uko bado bachela, wala usiponde walioko kwenye ndo akabisa, kwasababu haujui kitu, labda kama uliolewa au kuoa ukaachika.....ukishaingia tu kwenye ndoa mtu mwenyewe kwanza unaanza kujihisi kuwa unalazimika kujiheshimu na kufanya mambo ya kiutu uzima, wkaajili yako, ya mke wako, watoto wako, wakwe etc, unahisi kuna wajibu mkubwa sana unakuzungua hivyo unatakiwa uwe makini katika kila jambo ndio maana unajikuta unalazimika kuwa na mambo ya busara na ukomavu wa kiutu uzima....mwanaume mwenye miaka 35 ambeya hajaoa hawezi kufanana kabisa kitabia, kimaisha etc na mwanaume mwenye 35 years ambaye ameoa..yule aliyeoa atakuwa na mambo ya kiutu uzima, busara na ukomavu wa akili kuliko yule ambaye hajaoa....hivyo hata nyie ambao mmechangia hapa wakati bado hamjaingia kwenye ndoa, akili zenu bado kabisa kukomaa na hapa hata hamjaelewa milichochangia....nawaombea kwa Mungu wale ambao wanatamani kuingia kwenye mtihani huu wa maisha lakini wanashindwa, wafanikiwe....
ni mtizamo tu wa jamii, japo wengi hutafsiri ndoa kama kuashiria, ukomavu, kuhimili mikiki mikiki, busara, kujiheshimu, utulivu, mtu kujitambua na kuwa tayari kubeba majukumu.
bro, inategemeeana na mwanamke wa aina gani uliyemwoa, msomi, mama wa nyumbani goli kipa, mfanya biashara, ana pesa au anakutegemea wewe asilimia mia moja. kamaa ni msomi au ana pesa, na wewe una pesa na ni msomi, yeye ametoka kwake akiwa na meno salasini na mbili na wewe hivyo hivyo, mmekulia familia tofauti zenye tabia tofauti, mikwaruzo haiepukiki, ni ya lazima, ila ni ule mwaka wa kwanza na wa pili tu, mkiishi zaidi ya hapo, mnasomana na kushibana hapo ndo mtaishi kwa mipaka na kuheshimiana kila mmoja kwa nafasi yake, la sivyo, huwa inaweza kutokea mapambano ya kushindania ukubwa au utoaji maamuzi ndani ya familia, labda uwe mwanaume *****.....wewe mwanaume ukiona mwanamke haleti challenge yeyote tangu umemuoa, ujue huyo mwanamke ni mbumbumbu au anaishi na wewe kwasababu ya interest fulani tu na anaogopa akikukwaruza lazima utamtema etc, lakini yule aliyekupenda na ana akili timamu, lazima atapenda kuwa huru mbele yako, hatapenda kuishi kama mtumwa ndani ya ndoa yaani atakuwa open kufanya kama alivyokuwa amezoea alipokuwa single, hapo ndopo mikwaruzo inatokea, lakini kwasababu ana akili, mkisettle mnayamaliza mapema na anakuwa mwelewa nini mipaka yake na nini mipaka yako...hapo ndo mtaishi vizuri sasa. ila hakuna ndoa isiyokuwa na mikwaruzo.Hute kumbe ndoa ni mikiki mikiki....................!
Mwenzio mimi nina miaka kumi sasa sijaiona hiyo mikiki mikiki, hebu nimegee, ni mikiki mikiki gani mwenzangu ushapambana nayo na mimi nijiandae kukabiliana nayo!
Hute, ukipata muda pitia huu uzi hapa chini, niliwahi kuuweka hapa JF siku za nyuma kidogo:bro, inategemeeana na mwanamke wa aina gani uliyemwoa, msomi, mama wa nyumbani goli kipa, mfanya biashara, ana pesa au anakutegemea wewe asilimia mia moja. kamaa ni msomi au ana pesa, na wewe una pesa na ni msomi, yeye ametoka kwake akiwa na meno salasini na mbili na wewe hivyo hivyo, mmekulia familia tofauti zenye tabia tofauti, mikwaruzo haiepukiki, ni ya lazima, ila ni ule mwaka wa kwanza na wa pili tu, mkiishi zaidi ya hapo, mnasomana na kushibana hapo ndo mtaishi kwa mipaka na kuheshimiana kila mmoja kwa nafasi yake, la sivyo, huwa inaweza kutokea mapambano ya kushindania ukubwa au utoaji maamuzi ndani ya familia, labda uwe mwanaume *****.....wewe mwanaume ukiona mwanamke haleti challenge yeyote tangu umemuoa, ujue huyo mwanamke ni mbumbumbu au anaishi na wewe kwasababu ya interest fulani tu na anaogopa akikukwaruza lazima utamtema etc, lakini yule aliyekupenda na ana akili timamu, lazima atapenda kuwa huru mbele yako, hatapenda kuishi kama mtumwa ndani ya ndoa yaani atakuwa open kufanya kama alivyokuwa amezoea alipokuwa single, hapo ndopo mikwaruzo inatokea, lakini kwasababu ana akili, mkisettle mnayamaliza mapema na anakuwa mwelewa nini mipaka yake na nini mipaka yako...hapo ndo mtaishi vizuri sasa. ila hakuna ndoa isiyokuwa na mikwaruzo.
cha muhimu kujua ni kwamba, kuishi bila ndoa ni uzinzi, na ni dhambi...ila pamoja na mikwaruzo, hakuna kitu kizuri na chenye raha kama ndoa, hasa ukimwoa yule mnayeshibana na kwendana....ninyi ambao bado mko nje ya ndoa, mnazini na mnapoteza muda....na kukosa raha na mambo mengi.
nimesoma uzi wako, ni sahihi kabis.Hute, ukipata muda pitia huu uzi hapa chini, niliwahi kuuweka hapa JF siku za nyuma kidogo:
https://www.jamiiforums.com/mahusia...sema-kuwa-mimi-na-mama-ngina-hatugombani.html
wachangie wale walioko kwenye ndoa tu hapa, manake wengine ambao hamjaingia kwenye ndoa, bado hamjakomaaa, hamuijui mikiki mikiki ya kwenye ndoa ambayo mtu akihimili ataweza kuhimili na mambo mengine mengi....kama uko bado bachela, wala usiponde walioko kwenye ndo akabisa, kwasababu haujui kitu, labda kama uliolewa au kuoa ukaachika.....ukishaingia tu kwenye ndoa mtu mwenyewe kwanza unaanza kujihisi kuwa unalazimika kujiheshimu na kufanya mambo ya kiutu uzima, wkaajili yako, ya mke wako, watoto wako, wakwe etc, unahisi kuna wajibu mkubwa sana unakuzungua hivyo unatakiwa uwe makini katika kila jambo ndio maana unajikuta unalazimika kuwa na mambo ya busara na ukomavu wa kiutu uzima....mwanaume mwenye miaka 35 ambeya hajaoa hawezi kufanana kabisa kitabia, kimaisha etc na mwanaume mwenye 35 years ambaye ameoa..yule aliyeoa atakuwa na mambo ya kiutu uzima, busara na ukomavu wa akili kuliko yule ambaye hajaoa....hivyo hata nyie ambao mmechangia hapa wakati bado hamjaingia kwenye ndoa, akili zenu bado kabisa kukomaa na hapa hata hamjaelewa milichochangia....nawaombea kwa Mungu wale ambao wanatamani kuingia kwenye mtihani huu wa maisha lakini wanashindwa, wafanikiwe....