Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Waislam wepi? Nyie si ndo mnasema kila mtu ni muislam kwa vile anazaliwa muislam? Mbona mnatuchanganya na kujichanganya wenyewe?
Zingatia neno nyuzi badae mnalaumu ohoooo waislamu mpaka wamseme Yesu ndio tabia yao, tukiwajibu muwe mnatulia sio kutoa malalamiko
 
Zingatia neno nyuzi badae mnalaumu ohoooo waislamu mpaka wamseme Yesu ndio tabia yao, tukiwajibu muwe mnatulia sio kutoa malalamiko
Hata wa kimsema Yesu who cares? Kwani, Yesu ni baba wa nani mwanangu? Acha kutafuta vijisababu vya kushambulia wenzako ambao nao na dini yao ni kama wewe na yako, mapatapeli na magaidi.
 
Hata wa kimsema Yesu who cares? Kwani, Yesu ni baba wa nani mwanangu? Acha kutafuta vijisababu vya kushambulia wenzako ambao nao na dini yao ni kama wewe na yako, mapatapeli na magaidi.
Mimi nikishambuliwa lazima nijibu siwezi kuwa mnyonge wakati najua jirani yuko kwenye nyumba ya vioo
 
Haya maneno sio mageni mjini, ni kelele za chura hizi
Ni kweli. Una kila sababu ya kutetea waliokutengeneza kuwa ulivyo chini ya mwamvuli wa imani. By the way, ughaibuni uko nchi gani?
 
Stori kama hizi zimeshasahaulika na wamehakikisha kutozienzi.

Leo baadhi yao wanafundishwa kumchukia mkristo kusahau kuwa kuna historia inawaponza.

NITAPELI MALI ZANGU ILA HAUWEZI NITAPELI KIITIKADI
Mastory tu hakuna mwenye uhakika kama Muhamad alikuwepo kweli
 
Itakuwa Vizuri kwa sababu wewe utakuwa wa kwanza kuondolewa
Na wewe utakuwa wa kwanza kuolewa
bf0d939846b009d3194277533815a207.jpg
 
Umenichekesha na kuniacha hoi. Eti uzima wa milele! Vipi wakati akizikwa mtu wakristo husema apumzike milele kwenye nyumba yake ya milele. Hapa kuna uzima? Kuna umilele wowote katika uzima au ufu?
Mwanadamu kaumbiwa eternity hana mwisho mwanadamu ni infinite being. Hapo ndo islamic school of thought inapotofautiana na dini zote.
 
Back
Top Bottom