Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
- Thread starter
-
- #541
Waislam wepi? Nyie si ndo mnasema kila mtu ni muislam kwa vile anazaliwa muislam? Mbona mnatuchanganya na kujichanganya wenyewe?Nyuzi mnaanzisha nyie badae mnalaumu waislamu
Zingatia neno nyuzi badae mnalaumu ohoooo waislamu mpaka wamseme Yesu ndio tabia yao, tukiwajibu muwe mnatulia sio kutoa malalamikoWaislam wepi? Nyie si ndo mnasema kila mtu ni muislam kwa vile anazaliwa muislam? Mbona mnatuchanganya na kujichanganya wenyewe?
Hata wa kimsema Yesu who cares? Kwani, Yesu ni baba wa nani mwanangu? Acha kutafuta vijisababu vya kushambulia wenzako ambao nao na dini yao ni kama wewe na yako, mapatapeli na magaidi.Zingatia neno nyuzi badae mnalaumu ohoooo waislamu mpaka wamseme Yesu ndio tabia yao, tukiwajibu muwe mnatulia sio kutoa malalamiko
Mimi nikishambuliwa lazima nijibu siwezi kuwa mnyonge wakati najua jirani yuko kwenye nyumba ya viooHata wa kimsema Yesu who cares? Kwani, Yesu ni baba wa nani mwanangu? Acha kutafuta vijisababu vya kushambulia wenzako ambao nao na dini yao ni kama wewe na yako, mapatapeli na magaidi.
Ni kweli. Isitoshe unapokuwa mwendawazimu na gaidi mbali na zwazwaaMimi nikishambuliwa lazima nijibu siwezi kuwa mnyonge wakati najua jirani yuko kwenye nyumba ya vioo
Haya maneno sio mageni mjini, ni kelele za chura hiziNi kweli. Isitoshe unapokuwa mwendawazimu na gaidi mbali na zwazwaa
Ni kweli. Una kila sababu ya kutetea waliokutengeneza kuwa ulivyo chini ya mwamvuli wa imani. By the way, ughaibuni uko nchi gani?Haya maneno sio mageni mjini, ni kelele za chura hizi
Jadili nyuzi kijana achana na makazi ya watu , umefeli sanaNi kweli. Una kila sababu ya kutetea waliokutengeneza kuwa ulivyo chini ya mwamvuli wa imani. By the way, ughaibuni uko nchi gani?
HakikaDini zote Ukristo na Uislam ziliharibika zilipofungamanishwa na siasa na wanasiasa
Mastory tu hakuna mwenye uhakika kama Muhamad alikuwepo kweliStori kama hizi zimeshasahaulika na wamehakikisha kutozienzi.
Leo baadhi yao wanafundishwa kumchukia mkristo kusahau kuwa kuna historia inawaponza.
NITAPELI MALI ZANGU ILA HAUWEZI NITAPELI KIITIKADI
Na wewe utakuwa wa kwanza kuolewaItakuwa Vizuri kwa sababu wewe utakuwa wa kwanza kuondolewa
Ni aibu mnooooSema sisi waafrika tuna ushamba Sana, yaani tuna gombana kisa dini zilizo kuja kwa mtumbwi?
Mwanadamu kaumbiwa eternity hana mwisho mwanadamu ni infinite being. Hapo ndo islamic school of thought inapotofautiana na dini zote.Umenichekesha na kuniacha hoi. Eti uzima wa milele! Vipi wakati akizikwa mtu wakristo husema apumzike milele kwenye nyumba yake ya milele. Hapa kuna uzima? Kuna umilele wowote katika uzima au ufu?