Beat ya Bon hiyoIngekuwa vipi - Mwana FA
Mi nilikuwa nashangaa sana waliokuwa wanamcompare majani na Mj, Ujue beat nyingi za P ni classic hata ukizisikiliza leo, tofauti na yale madebe aliyokuwa anayapiga Master J
Jay Moe - Kati ya mvua na juaMy favourites:
1: Ya leo kali - Sir nature
View: https://youtu.be/GXCVGgilmy0?si=NHnPDmN_3d2yp8d5
2: nini mnataka - Pig black
View: https://youtu.be/0qNYFOaORoA?si=QSY3Afitv0bGT_qg
3:wanok nok - Domokaya na mandojo
View: https://youtu.be/Tmk6TWOd-Nw?si=137mZNDvguFmK5Rp
4: kimya kimya - Jay moe
View: https://youtu.be/VMdUTB2Bg7c?si=_dzIA6ikhZwYePrs
Ok, me nilijua Majani basi "Dar mpaka Moro" - Wanaume TMKBeat ya Bon hiyo
Kweli kabisaMaster J hamna kitu kabisa. Yani kwa vile tulikuwa gizani ilifanya kila mtu ahisi kwamba master J ni balaa. Ukiskiliza album ya Wagosi wa kaya ndio utaelewa kwamba J alikuwa ni ndezi tu.
balaa zito yaniKweli kabisa
Majani ali kuwa anapika bit, anamix , ana engineer sauti, na bado ililuwa inatoka ngoma kali, we fikiria majani kwa kipindi hiki wakati teknolojia ipo juu sijui ingekuwaaaje