Hakuna ubishi mwaka 2016 ulikuwa mwaka wa Wasafi Wcb

Hakuna ubishi mwaka 2016 ulikuwa mwaka wa Wasafi Wcb

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
370
Reaction score
636
Mwaka huu 2016 ulikuwa mwaka wa wcb wasafi kwenye burudani hapa bongo. Wasafi ni kama bongofleva sasa imekuwa kama ya kwao jinsi wanavyoitawala wanavyotaka.

Angalia kila ngoma walioachia kwao imekuwa ni hit, wasanii wao wameitawala industry kila angle.

Kwetu - Rayvanny
Natafuta kick -Rayvanny
Bado - Harmonize
Matatizo - Harmonize
Ibaki story -Mavoko
Kokoro - Mavoko
Kidogo -Diamond
Salome -Diamond
Watora Mali
Inde
Waache waoane

Nini siri ya mafanikio kutoka kwenye hii timu?

Ubunifu
Juhudi
Kuthamini kazi yao
Nidhamu ya kazi
Uwekezaji mkubwa kwenye kazi yao
Usimamizi mzur au tuseme management makini inayojua vema industry ya muziki


Haya ni baadhi ya mambo yanayowafanya Wcb kuendelea kuwa juu siku baada ya siku na kuwa label ya mfano

Sasa hivi wanamiliki studio yao, wanaandaaa show zao wenyewe tena kubwa kubwa(mwakani voda imewapa mikoa 10 kufanya tour yao ya wasafi festival) , kila msanii wao ni brand, na ni wazi kila msanii sasa anaitazama wcb kama kioo.

Wanasema kuwachukia wasafi ni kujiongezea maumivu yasiyo ya lazima, mnafikiri wengine waige nini au wanakwama wapi ili kwenda sambamba na wcb?

Mnafikiri mwakani 2017 utakuwa vipi kwenye industry upande wa wcb na wasanii wengine?

Hizi ni baadhi ya nyuzi nilizoandika mwaka huu kuhusu wasafi

WCB na Wasafi Tour

Raymond ni msanii hodari na mwenye kipaji cha aina yake


Karibuni!
 
Bahati mbaya sana nyimbo zao zote za mwisho zikazikwa na kitu ya darasa.huyu darasa huyu sio mtu mzuri.
na kawakalisha kinoma gap zaidi ya 1 million views you tube kwenye nyimbo yao ya makokoro
 
Hizo nyimbo zote zinashindwa na moyo mashine
7f2b5f23a9b1b4c64a9c06da5c373cbf.jpg


[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizo nyimbo zote zinashindwa na moyo mashine
ujue kuna watu ni wa kuwaonea huruma tu nakuwaacha waumie tu kwa moyo japo nje wanamaneno yakishujaa.......ukweli wanaujua ila wanajaribu kuupindisha kisa tu ni mtu fulani kisa tu ya chuki ..hatufiki na hatutafiki na watu wasiojali hizo chuki kama wcb wanaendelea kila siku wenye chuki waabaki kusema tu mchawi,mjanja mjanja sijui nini mwenzao huyoooooooo.......wacha nikae chini nisubiri 2017 tour na ne-yo huku nikisubiri collabo na rick ross ,nadhani kabla sijakaa vizuri nitaletewa na collabo na ya rihana pia.......sijui mziki mzuri mtakua wapi maana sisi tunalist ya show mpaka julai hivi.....
 
We umeona hata alipost officially kwenye account yake tumia akili basi MTU atafanyaje show bila malipo
Na alienda kufanya nini Dodoma? Hivi ujalipwa alafu unapanda gari mpaka Dodoma na stejini unapanda kufanya soundcheck saa nane usiku? Hvi nyie mashabiki wake mbona mnakuwa vilaza namna hiyo?
 
Back
Top Bottom