Hakuna ubishi mwaka 2016 ulikuwa mwaka wa Wasafi Wcb

Hakuna ubishi mwaka 2016 ulikuwa mwaka wa Wasafi Wcb

Acheni maneno wekeni Muziki..nyimbo ambayo hata bibi angu ambaye miguu imepoteza nguvu ya kusimama dede akiusikia asimama na ku bang..kweli Darasa umewashika panapouma wengi
 
Na alienda kufanya nini Dodoma? Hivi ujalipwa alafu unapanda gari mpaka Dodoma na stejini unapanda kufanya soundcheck saa nane usiku? Hvi nyie mashabiki wake mbona mnakuwa vilaza namna hiyo?
Ndo ili ujue hakukuwa na maelewano ndo maana hata insta hajapost Kama Ana show ambacho huelewi ni nn hapo labda
 
2017 itakuwa vizuri kuona label zingine zinajitahidi kupaa, ili na pia wasafi nao wajipaishe zaidi. Wapate washindani
 
Back
Top Bottom