laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
Darasa muziki ndio nyimbo bora ya mwaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ku post Kama Ana show sio baadaWe umeona hata alipost officially kwenye account yake tumia akili basi MTU atafanyaje show bila malipo
Ndo ili ujue hakukuwa na maelewano ndo maana hata insta hajapost Kama Ana show ambacho huelewi ni nn hapo labdaNa alienda kufanya nini Dodoma? Hivi ujalipwa alafu unapanda gari mpaka Dodoma na stejini unapanda kufanya soundcheck saa nane usiku? Hvi nyie mashabiki wake mbona mnakuwa vilaza namna hiyo?
Hilo neno limekujaje hapo mkuu??Nyingi sana wewe shoga
Zimezikwaje ? Acha kufananisha. Kokoro na mambo ya kipuuziBahati mbaya sana nyimbo zao zote za mwisho zikazikwa na kitu ya darasa.huyu darasa huyu sio mtu mzuri.