Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Kwa hii sinema amefanya leo Mbowe hakuna ubishi tena kuwa yeye ni CCM. Kule CHADEMA yupo tu kuchangamsha genge.
Hata kashkash anazopitia ni maigizo tu aonekane kumbe naye yumo.
Kapita mule mule hadi matamko ya msahama kwa ambao hawamkosoa. Umetoka kusema kuna ummoja ila kila Lissu akifanya kitu huyoo kuitisha press kuja kujiosha!
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi
Eti akiona chama kinatumbikia hatovumilia ataingia mzigoni! Kwahiyo njia yake ndio sahihi, wengine wakuna mwenye uwezo? Huko nyuma ilikuwa fununu saivi tumepiga mstari, yupo CHADEMA kuhakikisha wanakuwa mazuzu milele, akitokea wa kumchallenge ni kumpiga vita hadi mwisho maana ndio itakuwa mwisho wa kuwafanya mazuzu. Tunaona hata humu nguvu inavyotumika kubwa kumpopoa Lissu, lakini safari hii Lissu kaamua kukiwasha😂😂
I said what I said, mje na mapovu ya maji ya kosho la tatu ambalo ni safi safi