Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
Majanga hapo naona hamuelewani!Hujaelewa mantiki ya mchango wangu. Sikusema ninachodhani mimi, bali nilichangia wanachokidhania baadhi ya viongozi wa dini maana hoja yenyewe ilihusu hao viongozi wa dini. Jaribu kuelewa hoja inayoletwa siyo kuchangia tu kabla ya kuelewa.