Jay Milionea JF-Expert Member Joined Apr 19, 2015 Posts 1,185 Reaction score 154 May 21, 2015 #21 Magobe T said: Hujaelewa mantiki ya mchango wangu. Sikusema ninachodhani mimi, bali nilichangia wanachokidhania baadhi ya viongozi wa dini maana hoja yenyewe ilihusu hao viongozi wa dini. Jaribu kuelewa hoja inayoletwa siyo kuchangia tu kabla ya kuelewa. Click to expand... Majanga hapo naona hamuelewani!
Magobe T said: Hujaelewa mantiki ya mchango wangu. Sikusema ninachodhani mimi, bali nilichangia wanachokidhania baadhi ya viongozi wa dini maana hoja yenyewe ilihusu hao viongozi wa dini. Jaribu kuelewa hoja inayoletwa siyo kuchangia tu kabla ya kuelewa. Click to expand... Majanga hapo naona hamuelewani!