Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kuna mambo kama nchi huwa tanakosea na kujiabisha sana, mojawapo ni hilo la kuwafungulia Wakristo mashitaka ya makosa ya ugaidi, kwa hakika ni kituko cha aina yake na vihoja kwani Ukristo kwa asili katika nyakati hizi hauna ugaidi na hauwezi kuwa na ugaidi ndani yake hivyo ni vigumu sana pia kwa Mkristo kuwa gaidi.
Mambo ya ugaidi Karne hii yalikuja zaidi na vita vya Wamarekani dhidi Waislamu wa msimamo mkali, hata hivyo chanzo cha ugaidi zamani kabisa ni huko Ufaransa ambapo serikali ndio ilikuwa ikichukuliwa inafanya ugaidi(reign of terror).
Tuache kuendeleza hizi propaganda za ugaidi zisizo na mashiko