Hakuna ugaidi kwenye Ukristo, ni vihoja kumshitaki Mkristo kwa ugaidi

Timothy mc Veigh alielipua jengo huko Oklahoma City
Alilipua jengo la Alfred Murrah Fed building na walikufa watu 168 wakiwemo na watoto
Huo ulikuwa ugaidi
 
Kwenye ugaidi lazima kuwe na ideology na hiyo ideology mara nyingi huwa inahusiana na dini au imani.
Kuna akina Mugabe na kikosi chake cha wapigania uhuru Zimbabwe walikuwa wanaenda kwenye makazi ya wazungu na kupiga risasi au mabomu raia ili kumlazimisha serikali kukubali matakwa Yao, Mandela huko Africa Kusini nao Ilikuwa hivyo, hii Haina tofauti sana na wanachofanya Hamas huko Israel,
hivyo hii Ina fit kabisa maana ya ugaidi "kutisha, kuua raia au kuharibu miundombinu ya kiraia ili kulazimisha serikali kukubali matalwa yenu ya kisiasa"

Kuna kilichotokea 29 October Tanzania, kundi la watu lilikuwa linachoma vituo vya mafuta moto na ofisi za serikali ili kulazimisha serikali kufanya mabadiliko ya kisiasa wanayoona ni sahihi, huu ni ugaidi very plain


Ugaidi kama ilivyo uhalifu mwingine wa kisiasa huwa unarafutiwa visingizio na kupambwa na wanaouunga mkono kuwa 'wanapigania uhuru' 'wanataka kuondoa kutawala kandamizi' 'lengo la ni zuri' lakini kinachoangaliwa ni mbinu sio lengo
 
Sio kweli, Kuna dini very peaceful mfano Bahi, pia kwa sasa Ukristo ni very peaceful ukiacha sehemu chache sana duniani kama huko Marekani kwenye vikundi vichache vya Christian Nationalism.
Ukristo na uislamu ndo dini za magaidi fuatilia history.
 
WEWE NI ZWAZWA!

Ugaidi
ni mfumo au kitendo cha makusudi kinachotumia vurugu, vitisho, au mauaji kwa lengo la kusababisha hofu na taharuki kubwa kwa raia, serikali, au jumuiya ya kimataifa ili kufikia malengo fulani ya kisiasa, kidini, au kiitikadi.

TAFSIRI YA UMOJA WA MATAIFA KUHUSIANA NA NENO UGAIDI

Kulingana na Umoja wa Mataifa, ugaidi ni kitendo chochote kilichodhamiria kusababisha kifo au madhara makubwa ya mwili kwa raia au watu wasio wapiganaji, kwa nia ya kutisha umma au kuilazimisha serikali au taasisi ya kimataifa kufanya au kuacha kufanya jambo fulani.
 
Unasoma kweli ? halafu watu kama wewe ndio mnachukuliwa kama intelligent zama hizi Jf , kweli Jf imeisha .

Soma Historia Ulaya wakiristo wamefanya mauaji na unyanyasi mkubwa kwa Mayahudi .

East Africa jirani zetu Uganda walikuwa na kundi la kigaidi la Joseph Konny .

Soma historia sababu ya Ireland kugawanyika ni nini na yalitokea matukio gani ?

Hapo bado mengine mengi nimeweka kiporo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…