Hakuna uhusiano wa kula chipsi yai na upungufu wa nguvu za kiume,

Kwenye magonjwa nadhani ongeza na vidonda vya tumbo
 
1,2,3,4....hizo points nakubaliana nazo ....upungufu wa nguvu za kiume mara nyingi unasababishwa na kutokula vyakula vya asili.....sasa je? chips yai ni chakula cha asili...?...we kula ugali wa kutosha(especially DONA)mihogo,viazi na magimbi(majimbi) mboga chukuchuku...iwe mboga za majani zooote isipokuwa chinese(chainizi).nyama, samaki, maziwa..na nafaka iwe ni njegere,choroko,maharage.....ukilala usiku bao linajipiga lenyewe....ka hutaki endelea kula''kiepe'' ili demu wako akukimbie
,
 
Mi huwa sielewi. Chipsi ni viazi. Viazi ni wanga. vinakaangwa na mafuta. Mihogo ni wanga, inakaangwa kwa mafuta. Mayai ni protein. Samaki ni protein. Kuku ni protein. Tuambieni, tatizo CHIPSI? Mafuta ama Protein? Kama tatizo kukaa DSM, na nyie njooni, DSM hakuna viza!
 
TE="bullar, post: 18775143, member: 240923"]kwa mbaaali naona una point ya msingi
Mkuu hio avatar yako inanikumbusha enzi zangu nachek porn, huyo mtoto anaitwa carmen Kinsley hio movie kacheza na binti anaitwa summer(ffm)
Dah nlikuaga legend

Nb: i dont condone pornView attachment 443473

View attachment 443473[/QUOTE]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] the legend in action, wanasemaga ng'0mbe hazeeki maini
 
Mleta mada uko correct sana kwa mujibu wa science ila nakuhurumia mana watakuja wale watupori na kuku
 
Naomba mtaalam utupe solution kwa watu waliowahi kufanya masterbeshen wafanyenin ili kurudisha uweza wa nguvu zao?,asante
 
Naomba mtaalam utupe solution kwa watu waliowahi kufanya masterbeshen wafanyenin ili kurudisha uweza wa nguvu zao?,asante

fanya zoezi moja linaitwa kegel exercise

pia waache masterbation
 
Mleta mada uko correct sana kwa mujibu wa science ila nakuhurumia mana watakuja wale watupori na kuku

tatizo watu hua wanachokisoma au kusikia seemu ndo wanakichukua kama kilivyo

kwa akili ya kawaida,unazani chipsi zimianza kuliwa miaka hii?
 
Wewe ni mpiga nyeto eeeeh??!!
 
mie sidhan kama kuna chemistry ya kutengeneza yai LA kuku kwa industry
ndugu nguvu inaweza kupungua kwa namna hii
mafuta yanayo pikiwa kile chakula yanaweza kuongeza kiwango cha cholesterol kwenye mishipa ya damu ikiwepo mishipa ya uume ambayo inachangia kwenye erectile stamina hivyo unashauliwa upate vyakula ambavyo unaweza pata vitamin E na C.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…