FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwa sasa umeme ni mwingi kuliko mahitaji, watakuwa wanafanya matengenezoTANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili?
Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili.
This is not fair.
Vile vitoto vya kichaga vinavyogawa umeme wa KV 400 kwa elfu kumi Bado vipo?Saiv inaitwa legend
Hlo silifahamu mkuu.Vile vitoto vya kichaga vinavyogawa umeme wa KV 400 kwa elfu kumi Bado vipo?
wanasema umeme ni mwingi hadi wameuzima kwanza, ila Ka-telephone ana FIX aiseeeeTANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili?
Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili.
This is not fair.
hapa itakuwa walimaanisha umeme ngoma aka juliana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa itakuwa walimaanisha umeme ngoma aka juliana
Huu ujinga wote wa Tanesco chanzo ni Mama, kama kweli Mama angekuwa mkali na kufuatilia wizara zake huu ujinga ungetoweka. Jiulizeni mbona wakati wa Magufuli umeme ulikuwa haukatiki?TANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili?
Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili.
This is not fair.