Hakuna umeme toka Asubuhi

Hakuna umeme toka Asubuhi

TANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili?

Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili.

This is not fair.
Kwa sasa umeme ni mwingi kuliko mahitaji, watakuwa wanafanya matengenezo
 
Nchi ya ajabu sana hii!

Screenshot_20240428_210925_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240428_211115_Samsung Internet.jpg
 
Hawa tanesco Hawa,hivyo kabisa ,sio huko tu hata wilaya ya mkuranga kote hakuna umeme tangu asubuhi.
Ni Bora hili shirika lingekua la kwanza kubinafsishwa tu,maana Hawa waliopo hata hawaeleweki.
Kila siku wanakata umeme,wamekatq kidogo basi mara Tano.
 
TANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili?

Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili.

This is not fair.
wanasema umeme ni mwingi hadi wameuzima kwanza, ila Ka-telephone ana FIX aiseeee
 
TANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili?

Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili.

This is not fair.
Huu ujinga wote wa Tanesco chanzo ni Mama, kama kweli Mama angekuwa mkali na kufuatilia wizara zake huu ujinga ungetoweka. Jiulizeni mbona wakati wa Magufuli umeme ulikuwa haukatiki?
 
Huku bagamoyo kiwangwa umeme ulikatika jana saa3 asubuhi umerudi leo saa6 mchana
 
Inawezekana Tanesco wameshaanza kuuza umeme nje ndio maana ndani hatuna???🙄
 
Back
Top Bottom