complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 581
- 1,738
Habari,
Naandika haya kutokana na mwenendo mbaya wa serikali ya Tanzania kukataa ama kugomea kusikiliza nini haswa walipa kodi wake nini hasa wanataka
Kama walipa kodi ndio waendesha nchi walipa mishahara ya wabunge, mawaziri, samia pamoja na polisi ni kwanini serikali hii ikatae kusikiliza wanachi wake wanataka nini?
Ikiwa tunalipa kodi ambazo zinatumika kununua silaha kwaajili ya kutuua majumbani kwenu, tunalipa kodi kwaajili ya waliojiteua kufanya anasa serikali
Tunalipa kodi kwaajili ya kujibia kejeli pamoja na dharau kutoka kwa polisi pamoja naawaziri kuna umuhimu gani wa kulipa hizi kodi za biashara
Kwa pamoja walipa kodi hasahasa wafanyabiashara wa “KARIAKOO” serikali isiyo halali itakua haina budi kusikiliza waliowaajiri matakwa yao pamoja na kuyatekeleza.
Nawasihi wafanyabishara tuanze campaign ya kuogemea kukataa kulipa kodi kote TZ mpaka pale wale wote waliouwawa October 29 itolewe tamko ni wangapia
Nani alitoa order ya “shoot to kill”
Nani alitoa order miili ikazikwe porini nani wote hawa wawajibishwe
Kama serikali hii inajali MALI kuliko uhai basi haya ni makosa makubwa sana, magari miundombinu inaweza kujengwa tena kwa hizi hizi kodi za wananchi lakini uhai wa mtu hauwezi kurudi
KATAA KULIPA KODI KWA SERIKALI YENYE DHULMA