Hakuna umuhimu wa ndoa katika karne hii

Hakuna umuhimu wa ndoa katika karne hii

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Nimeitoa mtandaoni ila inaweza kukusaidia............ Ni ndefu kiasi...............

Kwa kiasi chake naweza kusema kuwa hakuna umuhimu wa ndoa katika karne hii Kwa sababu;

1. Thamani ya mwanamke imeshuka na inakaribia kutoweka kabsa kwenyes uso wa dunia:

Unapozungumzia ndoa unamzungumzia Mwanamke kama kiungo muhimu sana, na kadiri mwanamke anavyokuwa na thamani ndivyo thamani ya ndoa nayo inakuwa na thamani.

Mwanamke yupo Kama Mratibu Mkuu wa Ndoa.

Kushuka Kwa hadhi ya wanawake Duniani kunatokana na wao KUJIRAHISISHA. Kadiri mwanamke anavyopewa Uhuru ndivyo thamani yake inazidi kuporomoka, ni hakika itatoweka kabisa. Lengo la sheria za kubinya Uhuru wa mwanamke tangu zamani ni kulinda thamani yake. Uhuru uliopitiliza wa wanawake utazidi kushusha utu wa mwanamke. Sio ajabu kumsikia dada B**** wa EATV akiwaambia wanawake kuwa sio lazma kuomba ruhusa kwa waume zao ilihali yeye bado hajaolewa.

1724438226825.png

2. Kuporomoka Kwa biashara ya Umalaya kutokana na wanawake wengi kugawa uchi kiholela

Umalaya na ndoa ni mambo yanayoenda sambamba. Ndoa ikiwa na thamani basi na umalaya utakuwa na thamani. Katika tafiti zangu za kimkakati, Bei ya kununua Malaya miaka ya 2011 ilikuwa juu ukilinganisha na Mwaka 2020.

Malaya alikuwa akinunulia miaka hiyo 10,000 -20,000 Kwa Bao moja Maeneo ya kawaida Kama Sinza Mori, Ambiance n.k. lakini kutokana na wanawake wengi kujirahisi na kugawa penzi kiholela hali inayopelekea umuhimu wa ndoa kutokuonekana, hii imefanya biashara ya Umalaya kuanguka, Kwa sasa unaweza pata Malaya Kwa bei ya 2000 -8000.

Mke wa ndoa Kwa sasa Hana ubavu wa kumbabaisha mume wake kwani akimnyima tendo, basi huko barabarani na mitandaoni wanawake Buku wanamsubiri wampe penzi.

Hata hivyo umalaya siku hizi unafanywa hata na Wake za watu Hali inayowakatisha tamaa WAOAJI. Umalaya unapofanywa na wanawake wengi unafanya soko kudondoka na bei kushuka chini.
1724438564684.png

Kama wanawake wangekuwa na AKILI basi Jambo la Kwanza kabisa kulipigania lilikuwa ni THAMANI zao, kupitia kudhibiti ongezeko la Umalaya. Hii ingeongeza thamani mara elfu kuliko kupiganka vitu visivyo na maana yoyote katika utu wao.

Udhibiti wa Msamiati KUDANGA ungedhibitiwa, na hao wapigania HAKI SAWA. Maneno ya namna hii sio tuu hayafurahishi bali pia yanawadhalilisha wanawake pasipo ya wao kujua wenyewe.

Ongezeko la Umalaya limefanya tendo la ndoa kupoteza uthamani, kupata tendo la ndoa kwa sasa sio HABARI kama ilivyokuwa zamani ambapo ilikuwa mshike mkamate kukubaliwa na mwanamke.

3. KUZAA SIKU HIZI SIO MPAKA NDOA.

Siku hizi hakuna tofauti kubwa baina ya Mtu na Mnyama. Moja ya mambo yaliyomtofautisha binadamu na mnyama ni pamoja na ndoa, ili uweze kupata watoto basi ilikubidi Ufunge Ndoa, yaani Uoe au Uolewe. Bila kuoa au kuolewa ilikuwa ngumu kupata mtoto.

Thamani ya ndoa pia ilijengwa kwenye kupata watoto, Binadamu wengi asilimia 99% huwa na ndoto siku moja wawe na watoto na kwa zamani mahali pekee pakupata watoto ni ndani ya ndoa. Hii iliipa thamani taasisi ya ndoa.
1724438623977.png

Lakini zama hizi, kupata watoto sio sababu tena ya kuingia ndani ya ndoa. Mtu anaweza akawa na watoto bila hata ya ndoa. Tena anaweza akawa na watoto na wanawake hata kumi, au wanaume wengi pasipokuoa au kuolewa nao.

Zamani ukimpa mwanamke mimba hesabu umeshamuoa, lakini sio siku hizi. Kama serikali na taasisi za dini zingekuwa zinataka ziondoe tatizo la watoto wasiolelewa na wazazi wawili lingeboresha sheria za ndoa na uzazi. Haya mambo ya Single mother yasingekuwepo.

Ingekuwa sheria kuwa ni marufuku kuwa na mtoto pasipokuwa ndani ya ndoa ingawaje ingeleta athari kubwa kijamii lakini ingesaidia sana hapo baadaye.

Vijana wa sasa wengi wao huwapachika mimba wasichana kisha huwatelekeza na kuishi kibachela, wanajua wanawatoto tayari sasa ndoa ya nini ikiwa mahitaji yote ya ndoa wanayapata hata wakiwa hawajaoa.

Kwanza kuishi ndani ya ndoa katika zama hizi inachukuliwa kama mateso makubwa kuliko unafuu.

4. SHERIA YA PASU KWA PASU

Karne hii vijana wengi hawataki kusikia habari za ndoa kutokana na aidha uelewa mdogo kuhusu sheria za pasu kwa pasu, au kuzijua sheria hizo kupitiliza.

1724438688389.png

Niliwahi kumsikia rafiki yangu mmoja wa karibu ambaye kimsingi amefanikiwa kwa umri wake, ana nyumba mbili, gari moja pamoja na vimiradi midogo midogo akiwa na umri mdogo tuu wa miaka 33. Rafiki yangu huyu nilimuuliza kwa nini asioe kwani umri wa kuoa anao, na anauwezo wa kumudu mahitaji ya kifamilia alichonijibu kilinishangaza.

Alinijibu hivi; Nina watoto watatu je kuna sababu ipi nioe, unataka nioe alafu nigawane mali na mwanamke siku tutakapoachana?" Nilimuuliza kwa nini anafikiri kuachana zaidi kuliko kuishi mpaka kifo, akaniambia nisijifanye sioni wanawake wa zama hizi, lakini akaongeza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa watoto wake kuteseka mbele ya mikono ya mama wa kambo.

Vijana wengi wanafikiri habari ya Pasu kwa Pasu, sheria hii inawaumiza kila wakiifikiria linapokuja suala la kuoa, hata hivyo hawaoni sababu ya kuoa ikiwa tayari wameshapata kila kitu kilichopo ndani ya ndoa.

Vitu vilivyopo ndani ya ndoa ambavyo kwa karne hii vinapatikana hata mitaani​
  • Tendo la ndoa​
  • Watoto​
  • Kazi za nyumbani kama Kufua, kupika, vyombo, usafi n.k​
  • Ushauri na kusaidizana​
1724438963811.png

Vitu ambavyo vipo nje ya ndoa lakini ndani ya ndoa havipo

i. Uhuru

Ndani ya ndoa hakuna uhuru kwani wewe ni mali ya mtu, nje ya ndoa wewe sio mali ya mtu unafanya utakavyo, urudi usirudi nyumbani yote sawa, ulale usilale na mwanamke yote sawa.

ii. Hakuna sheria inayokulazimisha kumhudumia yeyote yule kwani sio mke wako lakini ndani ya ndoa zipo sheria zinazokulazimisha kumhudumia mke wako

iii. Tahadhari

Nje ya ndoa kuna tahadhari kwa sababu unawachukulia wanawake wote utakaodate nao ni Malaya, hivyo utaogopa Maradhi, pia utakuwa makini na pesa unazotoa. Ndani ya ndoa hakunaga tahadhari kubwa kwa maana unaamini huyo ni mkeo, na ni rahisi kupata UKIMWI ndani ya ndoa kuliko nje ya ndoa. Ni ngumu kwa mtu ambaye hajaoa na hana mpango kujiua kisa mapenzi ila ni rahisi kwa mtu aliyeoa au mwenye matarajio ya kuoa kujiua kisa mapenzi
1724438285886.png

Wanawake ni lazima walazimishe ndoa kwa sababu thamani na utu wao unalindwa zaidi akiwa ndani ya ndoa kuliko akiwa nje. Sasa Ongezeko la wanawake wasiotaka ndoa kutokana na sababu mbalimbali zinazidi kuondoa utu wa mwanamke.
Hata hivyo wapo wanawake ambao bado wanazijua thamani zao, ingawaje thamani zao zipo mashakani kutokana na kundi kubwa la wanawake kuamua kujipa uhuru unaowavua nguo wanawake wote duniani.

Wanawake wasafi na waaminifu wapo, namaanisha wasiopenda kutembea na wanaume hovyo kama wanyama, lakini wanajikuta katika wakati mgumu pale anapotaka kumnyima Mwenza wake mpaka ndoa ilhali anajua kabisa akimnyima basi wapo wenzake kama mia wanamsubiria huyo mchumba wake, hivyo wanaamua kutoa uroda na kujikuta wakiwa kundi moja la wale wasiosafi na wasiowaaminifu.
HATMA YA WAAFRIKA IPO MIKONONI MWA WAAFRIKA WENYEWE!
 
Hivi ni kanuni gani ya asili inayoamua kwamba thamani ya mwanamke ni kuwa hivi na si vile hebu nisaidieni enyi wazee wa kuisingizia nature, na je anayejua na anayeamua thamani ya mwanamke ni mwanaume au mwanamke mwenyewe, maana naona kama wanaume mnalazimisha mawazo yenu binafsi yanayowafaidisha wenyewe kisha ndio mnayaita thamani ya mwanamke
 
Nimeitoa mtandaoni ila inaweza kukusaidia............ Ni ndefu kiasi...............

Kwa kiasi chake naweza kusema kuwa hakuna umuhimu wa ndoa katika karne hii Kwa sababu;

1. Thamani ya mwanamke imeshuka na inakaribia kutoweka kabsa kwenyes uso wa dunia:

Unapozungumzia ndoa unamzungumzia Mwanamke kama kiungo muhimu sana, na kadiri mwanamke anavyokuwa na thamani ndivyo thamani ya ndoa nayo inakuwa na thamani.

Mwanamke yupo Kama Mratibu Mkuu wa Ndoa.

Kushuka Kwa hadhi ya wanawake Duniani kunatokana na wao KUJIRAHISISHA. Kadiri mwanamke anavyopewa Uhuru ndivyo thamani yake inazidi kuporomoka, ni hakika itatoweka kabisa. Lengo la sheria za kubinya Uhuru wa mwanamke tangu zamani ni kulinda thamani yake. Uhuru uliopitiliza wa wanawake utazidi kushusha utu wa mwanamke. Sio ajabu kumsikia dada B**** wa EATV akiwaambia wanawake kuwa sio lazma kuomba ruhusa kwa waume zao ilihali yeye bado hajaolewa.

View attachment 3077497

2. Kuporomoka Kwa biashara ya Umalaya kutokana na wanawake wengi kugawa uchi kiholela

Umalaya na ndoa ni mambo yanayoenda sambamba. Ndoa ikiwa na thamani basi na umalaya utakuwa na thamani. Katika tafiti zangu za kimkakati, Bei ya kununua Malaya miaka ya 2011 ilikuwa juu ukilinganisha na Mwaka 2020.

Malaya alikuwa akinunulia miaka hiyo 10,000 -20,000 Kwa Bao moja Maeneo ya kawaida Kama Sinza Mori, Ambiance n.k. lakini kutokana na wanawake wengi kujirahisi na kugawa penzi kiholela hali inayopelekea umuhimu wa ndoa kutokuonekana, hii imefanya biashara ya Umalaya kuanguka, Kwa sasa unaweza pata Malaya Kwa bei ya 2000 -8000.

Mke wa ndoa Kwa sasa Hana ubavu wa kumbabaisha mume wake kwani akimnyima tendo, basi huko barabarani na mitandaoni wanawake Buku wanamsubiri wampe penzi.

Hata hivyo umalaya siku hizi unafanywa hata na Wake za watu Hali inayowakatisha tamaa WAOAJI. Umalaya unapofanywa na wanawake wengi unafanya soko kudondoka na bei kushuka chini.

Kama wanawake wangekuwa na AKILI basi Jambo la Kwanza kabisa kulipigania lilikuwa ni THAMANI zao, kupitia kudhibiti ongezeko la Umalaya. Hii ingeongeza thamani mara elfu kuliko kupiganka vitu visivyo na maana yoyote katika utu wao.

Udhibiti wa Msamiati KUDANGA ungedhibitiwa, na hao wapigania HAKI SAWA. Maneno ya namna hii sio tuu hayafurahishi bali pia yanawadhalilisha wanawake pasipo ya wao kujua wenyewe.

Ongezeko la Umalaya limefanya tendo la ndoa kupoteza uthamani, kupata tendo la ndoa kwa sasa sio HABARI kama ilivyokuwa zamani ambapo ilikuwa mshike mkamate kukubaliwa na mwanamke.

3. KUZAA SIKU HIZI SIO MPAKA NDOA.

Siku hizi hakuna tofauti kubwa baina ya Mtu na Mnyama. Moja ya mambo yaliyomtofautisha binadamu na mnyama ni pamoja na ndoa, ili uweze kupata watoto basi ilikubidi Ufunge Ndoa, yaani Uoe au Uolewe. Bila kuoa au kuolewa ilikuwa ngumu kupata mtoto.

Thamani ya ndoa pia ilijengwa kwenye kupata watoto, Binadamu wengi asilimia 99% huwa na ndoto siku moja wawe na watoto na kwa zamani mahali pekee pakupata watoto ni ndani ya ndoa. Hii iliipa thamani taasisi ya ndoa.

Lakini zama hizi, kupata watoto sio sababu tena ya kuingia ndani ya ndoa. Mtu anaweza akawa na watoto bila hata ya ndoa. Tena anaweza akawa na watoto na wanawake hata kumi, au wanaume wengi pasipokuoa au kuolewa nao.

Zamani ukimpa mwanamke mimba hesabu umeshamuoa, lakini sio siku hizi. Kama serikali na taasisi za dini zingekuwa zinataka ziondoe tatizo la watoto wasiolelewa na wazazi wawili lingeboresha sheria za ndoa na uzazi. Haya mambo ya Single mother yasingekuwepo.

Ingekuwa sheria kuwa ni marufuku kuwa na mtoto pasipokuwa ndani ya ndoa ingawaje ingeleta athari kubwa kijamii lakini ingesaidia sana hapo baadaye.

Vijana wa sasa wengi wao huwapachika mimba wasichana kisha huwatelekeza na kuishi kibachela, wanajua wanawatoto tayari sasa ndoa ya nini ikiwa mahitaji yote ya ndoa wanayapata hata wakiwa hawajaoa.

Kwanza kuishi ndani ya ndoa katika zama hizi inachukuliwa kama mateso makubwa kuliko unafuu.

4. SHERIA YA PASU KWA PASU

Karne hii vijana wengi hawataki kusikia habari za ndoa kutokana na aidha uelewa mdogo kuhusu sheria za pasu kwa pasu, au kuzijua sheria hizo kupitiliza.

View attachment 3077509

Niliwahi kumsikia rafiki yangu mmoja wa karibu ambaye kimsingi amefanikiwa kwa umri wake, ana nyumba mbili, gari moja pamoja na vimiradi midogo midogo akiwa na umri mdogo tuu wa miaka 33. Rafiki yangu huyu nilimuuliza kwa nini asioe kwani umri wa kuoa anao, na anauwezo wa kumudu mahitaji ya kifamilia alichonijibu kilinishangaza.

Alinijibu hivi; Nina watoto watatu je kuna sababu ipi nioe, unataka nioe alafu nigawane mali na mwanamke siku tutakapoachana?" Nilimuuliza kwa nini anafikiri kuachana zaidi kuliko kuishi mpaka kifo, akaniambia nisijifanye sioni wanawake wa zama hizi, lakini akaongeza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa watoto wake kuteseka mbele ya mikono ya mama wa kambo.

Vijana wengi wanafikiri habari ya Pasu kwa Pasu, sheria hii inawaumiza kila wakiifikiria linapokuja suala la kuoa, hata hivyo hawaoni sababu ya kuoa ikiwa tayari wameshapata kila kitu kilichopo ndani ya ndoa.

Vitu vilivyopo ndani ya ndoa ambavyo kwa karne hii vinapatikana hata mitaani​
  • Tendo la ndoa​
  • Watoto​
  • Kazi za nyumbani kama Kufua, kupika, vyombo, usafi n.k​
  • Ushauri na kusaidizana​
View attachment 3077512

Vitu ambavyo vipo nje ya ndoa lakini ndani ya ndoa havipo

i. Uhuru

Ndani ya ndoa hakuna uhuru kwani wewe ni mali ya mtu, nje ya ndoa wewe sio mali ya mtu unafanya utakavyo, urudi usirudi nyumbani yote sawa, ulale usilale na mwanamke yote sawa.

ii. Hakuna sheria inayokulazimisha kumhudumia yeyote yule kwani sio mke wako lakini ndani ya ndoa zipo sheria zinazokulazimisha kumhudumia mke wako

iii. Tahadhari

Nje ya ndoa kuna tahadhari kwa sababu unawachukulia wanawake wote utakaodate nao ni Malaya, hivyo utaogopa Maradhi, pia utakuwa makini na pesa unazotoa. Ndani ya ndoa hakunaga tahadhari kubwa kwa maana unaamini huyo ni mkeo, na ni rahisi kupata UKIMWI ndani ya ndoa kuliko nje ya ndoa. Ni ngumu kwa mtu ambaye hajaoa na hana mpango kujiua kisa mapenzi ila ni rahisi kwa mtu aliyeoa au mwenye matarajio ya kuoa kujiua kisa mapenzi

Wanawake ni lazima walazimishe ndoa kwa sababu thamani na utu wao unalindwa zaidi akiwa ndani ya ndoa kuliko akiwa nje. Sasa Ongezeko la wanawake wasiotaka ndoa kutokana na sababu mbalimbali zinazidi kuondoa utu wa mwanamke.
Hata hivyo wapo wanawake ambao bado wanazijua thamani zao, ingawaje thamani zao zipo mashakani kutokana na kundi kubwa la wanawake kuamua kujipa uhuru unaowavua nguo wanawake wote duniani.

Wanawake wasafi na waaminifu wapo, namaanisha wasiopenda kutembea na wanaume hovyo kama wanyama, lakini wanajikuta katika wakati mgumu pale anapotaka kumnyima Mwenza wake mpaka ndoa ilhali anajua kabisa akimnyima basi wapo wenzake kama mia wanamsubiria huyo mchumba wake, hivyo wanaamua kutoa uroda na kujikuta wakiwa kundi moja la wale wasiosafi na wasiowaaminifu.
HATMA YA WAAFRIKA IPO MIKONONI MWA WAAFRIKA WENYEWE!
 
Tatizo linakuja hivi , Damaso wanaume wanataka kuhongwa na wanawake sehemu yao kama wanaume hakunaga sasa , mnataka watu wakapate hela wapi, lazima akatafute danga alee familia , milo,ada za watoto shule,kodi, hela ya maji naumeme , mavazi , kumlipa mshahara housegirl na bado watoto wakiumwa.

mwanaume yupo kimya hashtuki kama anahitajika kutoa kitu.
zamani wanaume wanapigana kupambania familia yake., unataka heshima na huionyeshi kuwa wewe ni baba unajionyesha wewe ni mama unapokea badala yakupokewa . Unasubiria badala yakusubiriwa, unategemea badala ya kutegemewa .

unatarajia adam wazamani ndio wasasa lah asha adam wasasa ni kilaza na wazamani ni kidume. mwanaume anategemea mke wake awe kichwa.
Sio yeye.

Bado anataka mke amuheshimu , ampe unyumba na hiyo ni ngumu . Mwanaume anataka mwanamke aje on time kupika na kuwa naye na huku si mtafutaji.

kwa sasa ndoa hizi ndio zipo home nazinawatesa wanawake.
A. unakuta mama ndio mtafutaji baba mpokeaji /tegemezi/mtombajie
anakula nakukaa tu home kama mwanamke meaning gold diger or goolkeeeper 75 % wanaume wategemezi na ndio maana ushoga umekidhiri maana hawataki neno kutegemewa na kutafuta wanaishia kupigwa push up na wanaume wenzao.

B. Unakuta baba na mama wanashirikiana katika kulea familia huyu atoe hiki na kile. Hii ni asilimia 25% za familia ambazo zinafanya hivyoo.

C. Unakuta baba ndio mlezi na anategemewa ila hii kwa maisha ya sasa ni asilimia kumi tu .10% familia zinazotegemea baba . So nimwendo wa afadhali

Kwa hali hii wanawake wasiweje hivyoo.
wanaume wanafanya hivyoo halafu mnatoa post zenu za ajabu ajabu FIKIRI KABLA YAKUTENDA . POVU RUKSA.
 
Kuna k za mkopo huku mitaani, wanawake washakuwa kama mbwa tu.
 
Kwa mawazo haya ndiyo maana ndoa zimepoteza uthamani na lengo la mtoa uzi limefanikiwa

Ndoa za sasa zipo kimtego sana na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuingia na kudumu kwenye ndoa
 
Kama hutunzi familia yako basi utatunziwa na sio buree
 
Hivi ni kanuni gani ya asili inayoamua kwamba thamani ya mwanamke ni kuwa hivi na si vile hebu nisaidieni enyi wazee wa kuisingizia nature, na je anayejua na anayeamua thamani ya mwanamke ni mwanaume au mwanamke mwenyewe, maana naona kama wanaume mnalazimisha mawazo yenu binafsi yanayowafaidisha wenyewe kisha ndio mnayaita thamani ya mwanamke
Soma Genesis 3:16
"Akamwambia mwanamke: “Nitazidisha sana uchungu wa mimba yako; utazaa watoto kwa uchungu, nawe utamtamani sana mume wako, naye atakutawala"

Muumba mwenyewe ndo alifanya iwe hivyo, mnavotafuta usawa na wanaume ni nmataka kumprove wrong aliyewaumba, ndomana hamtakaa mfanikiwe ktk hilo.
 
Back
Top Bottom