Elections 2015 Hakuna upinzani wa kweli bila tume huru Tanzania

Kuna muunganiko wa jeshi la polisi tume ya uchaguzi na ccm wametengeneza chama cha siasa kimoja ni hatari sana kwa sasa hapa nchini wanajiandikia idadi ya kura wazitakazo.
Hapo ndipo inapopatika kama gori ni gori na kama sio gori ni gori
 
Mimi sjui kama kuna mwaka nipoteza mda wangu niache kulala au kulq ngoma kwwny sawbufer yangu eti naenda kupiga kura wakat hata tukimchagua tumtakaye hawamtangazi wala kula hazilindwi wanaziiba ili ashinde wa kwao kijani.
 
hata mkisusa wenzenu watafanya figisu figisu washinde
Wakita watuongoze miaka yote ya maisha ila sio kunichoresha eti napiga kura ya nn sasa wakati anayeshinda wanamjua hata kabla ya kupiga kura yaani wanatangaza na kuharibu pesa za nchi buree bora tusingekuwa tinachagua kabisa si kwa figisu hizo
 
Kwa nchi ilipofika sasa hakuna kitu cha Kipuuzi Kama kuacha mambo yako na kwenda kupiga KURA ukitegemea kura zitaamua nani awe mshindi...!! Bora ulalee nyumbani tu....
Wanaopiga kura hadi leo hao ni washamba tu upige ili iweje
 
Wakita watuongoze miaka yote ya maisha ila sio kunichoresha eti napiga kura ya nn sasa wakati anayeshinda wanamjua hata kabla ya kupiga kura yaani wanatangaza na kuharibu pesa za nchi buree bora tusingekuwa tinachagua kabisa si kwa figisu hizo

ni kweli mkuu wanatuona vikatuni,hizo hela za chaguzi wangezidirect somewhere else..
 
Wakita watuongoze miaka yote ya maisha ila sio kunichoresha eti napiga kura ya nn sasa wakati anayeshinda wanamjua hata kabla ya kupiga kura yaani wanatangaza na kuharibu pesa za nchi buree bora tusingekuwa tinachagua kabisa si kwa figisu hizo
Bora zamani kura ya Urais ilikuwa inajulikana hata iweje Fisiem inashinda Ila kwa sasa hiyo 2020 hata Diwani Hashindiii....!!
 
Kuna muunganiko wa jeshi la polisi tume ya uchaguzi na ccm wametengeneza chama cha siasa kimoja ni hatari sana kwa sasa hapa nchini wanajiandikia idadi ya kura wazitakazo.
Yaani taabu iko pale pale hawa jamaa ni janga zaidi ya ukimwi
 
Back
Top Bottom