Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Simu ndogo hata siitumiiZuia matumizi bila bando mkuu
😂😂😂😂Voda ukiacha salio hata ujajiunga wanachukua ila ukiuliza wanakwambia maagizo toka juu
Bado unatumia mtandao wa vodaKwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa.
Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada ya siku 3 ukakuta salio limekatwa ukipiga simu utaambiwa Kuna huduma ulijiunga na kiuhalisia hukuwahi kujiunga. Je, ni nani anayejiunga bila ridhaa?
Bado naendelea na utafiti wangu
Kumbe matajiri wanapenda vitu vibovu mana eyateli internet yao speed ni mbovu kabisaNa umri wangu huu voda sijawahi itumia hata siku moja, tumia Airtel mkuu
Tigo- wanafunzi & dada wakazi
Voda - kina mama & wajasiriamali
Airtel - watu waheshima & matajiri 😂😂
Pole sana ndugu. Kwa kweli hii ni kero kubwa. Sio kwako tu, wateja wengi wanalalamika, huu ni WIZI! Waache kutuibia wateja waoKwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa.
Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada ya siku 3 ukakuta salio limekatwa ukipiga simu utaambiwa Kuna huduma ulijiunga na kiuhalisia hukuwahi kujiunga. Je, ni nani anayejiunga bila ridhaa?
Bado naendelea na utafiti wangu
nadhani hiki ndicho kinachompata mbona mm naweka saa nyingine hadi nasahau ila sijawahi ona hayo mamboZuia matumizi bila bando mkuu
Sio sahihi. Simu yenye hiyo laini haitumii internet napia huduma nyingine najiunga ndipo natumia. Nina akili timamu na matumizi ya simunadhani hiki ndicho kinachompata mbona mm naweka saa nyingine hadi nasahau ila sijawahi ona hayo mambo
Ndio kuns kitu ambacho pengine hakipo sawa pengine hata hao wamiliki hawakifahamuPole sana ndugu. Kwa kweli hii kero kubwa. Sio kwako tu, wateja wengi wanalalamika, huu ni WIZI! Waache kutubia wateja wao
hakuna hiyo kitu utakatwa tuZuia matumizi bila bando mkuu
Na umri wangu huu voda sijawahi itumia hata siku moja, tumia Airtel mkuu
Tigo- wanafunzi & dada wakazi
Voda - kina mama & wajasiriamali
Airtel - watu waheshima & matajiri 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Voda ukiacha salio hata ujajiunga wanachukua ila ukiuliza wanakwambia maagizo toka juu
Tigo wezi balaa.Mimi nikidhani tigo tuu
Yaan najiunga Mb, dakika na meseji za mwezi
Lkn salio la kawaida linaliwa mpk inabaki sifuri
UmenenaPesa ikishakuwa kwenye digital number mfano wa Salio, vocha n.k ukweli ni kwamba thamani yake siyo halisi sababu teknolojia inaweza ika access pesa yako pasipo idhini yako.