KERO Hakuna usalama kuacha salio kwenye simu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hawa jamaa wa Mdundo DJ Mixes wapuuzi sana wanaunga wateja bila ridhaa yao wakiona tuu una salio.Voda acheni hiyo kitu.
 
Inachosha
Kwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa.

Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada ya siku 3 ukakuta salio limekatwa ukipiga simu utaambiwa Kuna huduma ulijiunga na kiuhalisia hukuwahi kujiunga. Je, ni nani anayejiunga bila ridhaa?

Bado naendelea na utafiti wangu
View attachment 3043031
 
Ujamuelewa wewe,unazuia matumizi bila bando hili hela yako Kama hujajiunga na kifurushii haitumikii inabak hivyo hivyo mpaka ujiunge
Hela inaishaje bila kutumia Call, sms, au Internet? Jibu Swahili hili
 
Kwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa.

Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada ya siku 3 ukakuta salio limekatwa ukipiga simu utaambiwa Kuna huduma ulijiunga na kiuhalisia hukuwahi kujiunga. Je, ni nani anayejiunga bila ridhaa?

Bado naendelea na utafiti wangu
View attachment 3043031
Juzi na Mimi nilipigwa na Halotel tukio kama hili......
 
Jamaa, hizi mambo inabidi zifike mwishon huu ni wizi wa wazi wazi, Hawa lazima tuwasalimie, wanaibia sana watu kwa kuwaambia wamejiunga na huduma Fulani wakati sio kweli, dunia hii ya utandawazi ujiunge kitu usichokijua?

Vipi, wale watu wasioweza kupiga simu kuhoji salio lao wanaendelea kukatwa tu Salio? (Wazee,na watu wasio na ujuzi kuhusu mitandao) ndo wanawalima tu hela zao, hatuwezi kuwa wajinga kila siku, tumezidi sana kuwafumbia macho na hizi huduma za wizi wa kimitandao, inabidi ifike mwisho.

Kwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa.

Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada ya siku 3 ukakuta salio limekatwa ukipiga simu utaambiwa Kuna huduma ulijiunga na kiuhalisia hukuwahi kujiunga. Je, ni nani anayejiunga bila ridhaa?

Bado naendelea na utafiti
 
Back
Top Bottom