Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

Una
Usiri upo sema kwenye nchi kama zetu ambazo hazizingatia sheria hakuna anaeweza kuzingatia hilo la haki ya faragha
Unjidanganya, hayo mawasiliano ya magaidi huko ulaya nani huwa anavujisha sauti zao kama sio mitandao?

Bado marekani walidukua mawasiliano ya ujerumani sasa ulisikia nini kilitokea?

Hakuna faraga za mtu kwenye mtandao kama unafanya makosa.
 
Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.

Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.

Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Huna jipya.
 
Nadhani shida kubwa ni kutofuata masharti ya mkataba kati ya hayo makampuni na wateja wao na pia maadili ya kazi. Nchi zinazofuata utawala wa sheria usiri kati mteja na kampuni fulani unaweza tu kuvunjwa endapo mteja anajihusisha na vitendo vya kihalifu na ili iwe hivyo ni lazima kuwepo na 'court order' kwa service provider kutoa ushirikiano wa mawasiliano ya huyo mteja na hakuna njia nyingine yeyote ya kupata habari za uhusikaji wake kwenye huo uhalifu na hiyo court order hutolewa baada ya 'full public hearing'. Kwa mantiki hiyo, mere police order is not enough.
 
Ukiwa na jambo lako zito na muhimu bora upande gari uende kwa mdau muongee ana kwa ana.
 
Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.

Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.

Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hayo matendo mema kwa nchi au kwa Mungu?
 
Ndio maana tunaojua haya mambo huwa hatutaki kuzungumuzia kwenye simu.

Tukutane uso kwa uso tuyajenge au tuyabomoe
 
Back
Top Bottom