kukumsela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 725
- 917
Sheria inasemaje mkuuu tupe maarifa cheifSijui kwanini hii hoja inakwepwa sanaa.?.kwanini police hawataki kufuata sheria zilizopo ili kupata hizo taarifa za watumiaji wa simu wazitakazo?
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app