Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.

Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.

Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!

"Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano". umepotosha hapo mimi naishi hapa USA simu yangu haiwezi kurekodiwa mpaka serikali iende mahakamani na jaji atoe ruhusa. Hivyo unakosea kusema popote Duniani sio kweli
 
Dunia ni kijiji bwashee ndio maana Putin anaingia popote.

Acha kukariri.......!
Kuna siku unasahafu kutumia zile dawa zinazokusaidia mara moja moja kuonekana kama unazo akili za kutosha. Leo ni mfano wa siku uliyosahau/acha kutumia dawa.

Akili imenyofoka kabisa?

Sasa hapa unatoa mfano wa Putin, hiyo ndiyo dunia?
 
Mchagga mwenzio ameshalazwa muda huu wewe mmachame wa KIKE!

Gerezani hakuna wazee kule wanaangalia maini tu!
🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿
 
Back
Top Bottom