johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unjidanganya, hayo mawasiliano ya magaidi huko ulaya nani huwa anavujisha sauti zao kama sio mitandao?Usiri upo sema kwenye nchi kama zetu ambazo hazizingatia sheria hakuna anaeweza kuzingatia hilo la haki ya faragha
Ukipiga kwenye watsap hawadukui kuna usalamDawa ni kupiga simu kutumia watsap. Na ndiyi maana wanaongeza bei za vifurushi ili watu wasitumie watsap.
How?Ukipiga kwenye watsap hawadukui kuna usalam
Huna jipya.Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hakuna faragha mbele ya serikali!Usiri upo sema kwenye nchi kama zetu ambazo hazizingatia sheria hakuna anaeweza kuzingatia hilo la haki ya faragha
Usalama ni zaidi ya sheria na kanuni bwashee!Je ndio sheria na kanuni zinavyosema?
Jipya unalo wewe!Huna jipya.
NimeulizaHow?
Hahahaaaa.....!Ukiwa na jambo lako zito na muhimu bora upande gari uende kwa mdau muongee ana kwa ana.
Hayo matendo mema kwa nchi au kwa Mungu?Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kwa Mungu na nchi aliyotuumbia!Hayo matendo mema kwa nchi au kwa Mungu?