Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,540
Kama hii mada itaondolewa ndani ya dakika mbili ni mtihani kwa mods.
Kama nikipata BAN i will happily receive it,
Haiingii akilini kuwa watu waliokuwa wanashikiliwa na vyombo vya dola kwa kuvunja sheria halali za nchi eti WAMEACHIWA HURU kwa sababu ya shinikizo la watu wanaoabudu nao katika imani moja.huu ni UPUMBAVU,UJUHA na USENGErema na UKATAVI katika nchi hii,imekuaje serikali iwashikilie watu kwa kuvunja sheria afu wanaachiwa eti kwa sababu waumini wenzao,Gimme break,ntarudi NO MATTER HOW!