Hakuna uwanja wa ugenini ulio mwepesi,kwa timu ngeni.

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
908
Reaction score
1,350
Watu wanachonga Sana Mara baada ya simba SC kupigwa tano -kwa bila na As vita club.lakini wanashindwa kujua kuwa hilo ni kawaida almost duniani kote,ukiangalia Jana hata timu kubwa Kama Tp mazembe kapigwa 3-0 ugenini.na hiyo ni kawaida kwa mechi za ugenini za Africa na dunia Kiujumla,na kwa mechi ya Jana utaona simba waliposesi Sana mpira ila hawakuwa na hatari na kumbuka lile dimba la kinsasha As vita hawajawai kuiacha timu yoyote salama.kwaio simba si ya kwanza na watu msiione kuwa ni mbovu kiivyo nadhani wamejifunza kitu na nategemea watabadilika mechi ijayo na Al ahly na zingine zijazo hapa bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa safari umeanzia hapo,mngepambana na viporo vyenu ili mjiweke kwenye nafasi ya kuchukua ubingwa ligi kuu ili mtuwakilishe tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni shabiki wa simba tena mwanachama aliekunywa maji ya bendera, kwa kile kipigo cha jana, Acha kujifariji timu yetu ni mbovu na ni dhaifu kwa vitu vingi, tafta uzi umu wa Gentamycine amejaribu kuchambua vzr sana, ww ndio unataka kutulisha Mbilimbi mibichi hpa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanachonga Sana Mara baada ya simba SC kupigwa tano -kwa bila na As vita club.lakini wanashindwa kujua kuwa hilo ni kawaida almost duniani kote,ukiangalia Jana hata timu kubwa Kama Tp mazembe kapigwa 3-0 ugenini.na hiyo ni kawaida kwa mechi za ugenini za Africa na dunia Kiujumla,na kwa mechi ya Jana utaona simba waliposesi Sana mpira ila hawakuwa na hatari na kumbuka lile dimba la kinsasha As vita hawajawai kuiacha timu yoyote salama.kwaio simba si ya kwanza na watu msiione kuwa ni mbovu kiivyo nadhani wamejifunza kitu na nategemea watabadilika mechi ijayo na Al ahly na zingine zijazo hapa bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunae kocha wa kubadilisha timu? Huyu jamaa ni conservative sana, anavyocheza nyumbani anacheza na ugenini hivyo hivyo. Zambia tulifungwa sana kwa kutokujua tucheze vipi ugenini, badala ya kujifunza kwa matokeo yale karudia tena makosa Congo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom