Hata kwa young killer tu hajafkiaKama hujawahi kumwelewa Afande, hujawahi kuuelewa muziki wa Bongo.
Hata kwa young killer tu hajafkia
Kuniona hivyo kisa nimetofautiana nawewe ni sababu ya upeo ulionao...so sina tatizo na hiloAge differences come with taste differences.
Old schools vs New schools.
Hata mimi nikimwambia mzee wangu kwamba Rwambo si kitu kwa Defao, JB Mpiana, Koffi Olomide au Awilo ataniona kubwa jinga.
Sawa na ninavyokuona.
Kuniona hivyo kisa nimetofautiana nawewe ni sababu ya upeo ulionao...so sina tatizo na hilo
Aisee wimbo ukiusikiliza kwa makini unaweza ukatoa chozi,yaani unawaza aliwaza nini kuandika maono ya namna ile[emoji123][emoji123]kuna moja inaitwa je nitarudi ?aisee afande ni deep thinker
Viduku hamuwez kuelewa mzeeBangi zinamzeesha vibaya...kwanza ni mmoja wa wasanii ambao sijawahi kuwaelewa
Ulimkuta au kumkamata akivuta?Bangi zinamzeesha vibaya...kwanza ni mmoja wa wasanii ambao sijawahi kuwaelewa
[emoji123][emoji123]kuna moja inaitwa je nitarudi ?aisee afande ni deep thinker
"Fanya vyote unavyofanyanikiisikiliza asubuhi aisee huwa naishiwa aman nikitembea road
Unionapo na philipo popote amani iwepoKuna
1.Ndugu zangu,
2.Malaria( hii nakumbuka nilipata historia yake ni kwamba wasanii waliambiwa waimbe wimbo wa kuhamasisha tokomeza malaria ila ilikuwa ngumu kwa wengi ila Sele akaweza fast)
Collabo
3.Kuna ile na Ô'ten utasema jamaa alitunga kabla akawa anamsubiri jamaa
4.Swahiba
Unionapo na philipo popote amani iwepo
Japo shetani hapendi,ila wote tuamini kwa Mungu ni zaidi ya ushindi
Leo philipo nyandindi
Yuko pamoja na mtupori baba tundi
Au selemani msindi
Ooh,Mungu mkubwa!!!
Hatari sana huyu mtu,hana mfanowe
Kuna mstari katika wimbo wa "Nitarudi na roho yangu" anasemaBinafsi napendaga kusikiliza hizi nyimbo za mashairi ya kihihap ya kibongo ni rahisi kukapcha weds na inakufikirisha kidogo na inakupa uhalisia.
Kuna mstari Fid Q anasemaga "mnataka vitu rahisi, mi nawapa vitu halisi".
Hujui muziki nyamaza kimya,,sikiliza akina young dee,shoro mwamba tu,,Afande ni level za mbali sanaBangi zinamzeesha vibaya...kwanza ni mmoja wa wasanii ambao sijawahi kuwaelewa