Hakuna uzito wa mashairi kama yangu uliotokea katika taifa hili – Afande Sele

Hakuna uzito wa mashairi kama yangu uliotokea katika taifa hili – Afande Sele

Hata kwa young killer tu hajafkia

Age differences come with taste differences.

Old schools vs New schools.

Hata mimi nikimwambia mzee wangu kwamba Rwambo si kitu kwa Defao, JB Mpiana, Koffi Olomide au Awilo ataniona kubwa jinga.

Sawa na ninavyokuona.
 
Kuniona hivyo kisa nimetofautiana nawewe ni sababu ya upeo ulionao...so sina tatizo na hilo
 
Kuniona hivyo kisa nimetofautiana nawewe ni sababu ya upeo ulionao...so sina tatizo na hilo

Exactly maana yangu ilikuwa kwamba kila mtu anaweza kuyashangaa mawazo ya mwenzake lakini ukiingia kwa ndani zaidi unajikuta kumbe chanzo ni umri, mazingira au influence fulani.

Kuna kitabu sikumbuki jina lakini mwandishi aliandika kwamba mtoto akizaliwa akafundishwa kwamba mkono unaitwa sikio atakuwa akijua ni hivyo na mnaweza kubishana mpaka basi, ukiuliza zaidi unakuta kumbe tatizo ni mwalimu wake.
 
nikiisikiliza asubuhi aisee huwa naishiwa aman nikitembea road
 
Ni kweli Afande Sele ni msanii wa tofauti katika utungaji wa mashahiri.
 
Bangi zinamzeesha vibaya...kwanza ni mmoja wa wasanii ambao sijawahi kuwaelewa
Ulimkuta au kumkamata akivuta?

If so, si vibaya ukaweka ushahidi wa picha au video hapa.

Karibu.
 
Afande Sele, Simba Zee, Karata dume.
Bora Uzee kuliko Uzembe.
Big up Afande
 
[emoji123][emoji123]kuna moja inaitwa je nitarudi ?aisee afande ni deep thinker

Kuna
1.Ndugu zangu,
2.Malaria( hii nakumbuka nilipata historia yake ni kwamba wasanii waliambiwa waimbe wimbo wa kuhamasisha tokomeza malaria ila ilikuwa ngumu kwa wengi ila Sele akaweza fast)

Collabo
3.Kuna ile na Ô'ten utasema jamaa alitunga kabla akawa anamsubiri jamaa
4.Swahiba
 
nikiisikiliza asubuhi aisee huwa naishiwa aman nikitembea road
"Fanya vyote unavyofanya
lakini itafika siku na wewe utalala kimya
ipo siku yako katika shughuli zako,
ndipo ulipo msiba wako
ni kila kitu,kifo ni kwa kila mtu,
hata uwe fundi viatu
uwe unaketi kutwa nzima chini ya mti
bado utakutwa na umauti
mara ngapi unasikia
gari imepotea njia
na kugonga nyumba hadi ndani inaingia
kuangamiza waliolala wakati hawana hatia
dereva alogonga anapona na kukimbia
na abiria wanatoka salama bila kuumia
usicheze na dunia
usijiamini pia
Kiluchotokea ndicho kinajirudia
na pale ulipolalia ndipo utakapoamkia
"UKISAFIRI AMA UKIKETI NYUMBANI
POPOTE ULIPOJISITIRI JUA KIFO KIPO PEMBENI"
Ndo maana mimi pamoja na kujiamini
ninapokuwa nyumbani au niwapo safarini
najiuliza akilini,nitarudi na roho yangu
au nitarudi vipi?nitarudi na afya yangu
au nitarudi mahututi.........
 
Kuna
1.Ndugu zangu,
2.Malaria( hii nakumbuka nilipata historia yake ni kwamba wasanii waliambiwa waimbe wimbo wa kuhamasisha tokomeza malaria ila ilikuwa ngumu kwa wengi ila Sele akaweza fast)

Collabo
3.Kuna ile na Ô'ten utasema jamaa alitunga kabla akawa anamsubiri jamaa
4.Swahiba
Unionapo na philipo popote amani iwepo
Japo shetani hapendi,ila wote tuamini kwa Mungu ni zaidi ya ushindi
Leo philipo nyandindi
Yuko pamoja na mtupori baba tundi
Au selemani msindi
Ooh,Mungu mkubwa!!!

Hatari sana huyu mtu,hana mfanowe
 
Akili ni kama nywelee, mazee toka kwa mtu na babakee, akili zangu mimi,mista ticha ama boni na juma necha ni tofauti na za venture..
Hata kama tungelikuwa pacha,...wengine nyeusi tiii na wengine vipilipili. (Kutofautiana kupo ila sio mpaka tuchukiane)

Kama kuanzisha bifu, tuanzishe bifu na ukimwi, watu hatuna makucha nashanzangaa tunaomba upele.(tusiombeane mabaya yenye kuturudisha nyuma tuuungane kufanya kazi)

Hata kama wewe ni shbiki nambari moja wa yanga, sikuungi mkono ukiomba mabay kwa simba mazee,..mfano simba inakufa yanga itacheza na nani kujaza shabiki uwanjani kama zamani( kwenye maisha tunategemeana)
 
Binafsi napendaga kusikiliza hizi nyimbo za mashairi ya kihihap ya kibongo ni rahisi kukapcha weds na inakufikirisha kidogo na inakupa uhalisia.

Kuna mstari Fid Q anasemaga "mnataka vitu rahisi, mi nawapa vitu halisi".
 
Pamoja na kua mnasema tuliozaliwa 90's hatumuelewi afande ila mimi nakili kua afande ni moja ya wasanii walini inspire kuimba na kupenda mziki nakumbuka tukiwa darasa la nne tulikua tunashindana kukalili mashairi ya afande na profesa jay..

Afande sele anajua sana ila sema tu hataki kuoga [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Binafsi napendaga kusikiliza hizi nyimbo za mashairi ya kihihap ya kibongo ni rahisi kukapcha weds na inakufikirisha kidogo na inakupa uhalisia.

Kuna mstari Fid Q anasemaga "mnataka vitu rahisi, mi nawapa vitu halisi".
Kuna mstari katika wimbo wa "Nitarudi na roho yangu" anasema

"Binadamu kama mnyama
Mungu wa manyani,ndo Mungu wetu sisi
Mungu wangu selemani na ndio Mungu wa mafisi
Kwavile wote ni viumbe,tofauti yetu na ng'ombe labda ni kwato na pembe......
 
Back
Top Bottom