MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
We dont hang with loosers, that's harsh reality of capitalism
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmetolewa inatosha duniani hakuna tuzo ya fainalistUTOPOLO walitegemea tunafungwa kuanzia 3 kwenda mbele sasa hawaamini nini? Kimetokea hawana say
Miaka yote 5 mnaishia hapo then mnajisifu kila mwaka mmetoka kiume.Can't you grow?Habari zenu
Nimekaa dk kadhaa nikisikilizia nyuzi za kuziponda SIMBA sizioni zikianzishwa au zikitembea labda zianze sasa hivi baada ya hii nyuzi.
Ni wazi tosha MNYAMA kajitahidi sana Hongera nyingi sana Kwa SIMBA, Mimi kama shabiki wa SIMBA sina cha kuwadai sijui mashabiki wengine
Nafikiri next season tunaweka timu vizuri Kwa kufanya vizuri zaidi wao wenyewe hawaamini nini! Kilikuwa kimeendelea.
Kama unajua SOKA lazima uipongeze SIMBA lakini kama maisha yako ni malalamiko utalalamika mpaka siku ya mwisho yako hapa duniani
HONGERA SANA KWENU SIMBA SPORTS CLUB- HAKIKA MMETUWAKILISHA VYEMA
Msamehe maana ana raha sana kufika ROBO FINALChangia kwa hoja, povu la nini?
Ufungwe tatu kwani timu yako ni timu ya netball? Umepata ulichostahili na umetupwa nje ya michuano, mpira ni malengo na si vinginevyoUTOPOLO walitegemea tunafungwa kuanzia 3 kwenda mbele sasa hawaamini nini? Kimetokea hawana say
Check statistics ....66% kwa 34% ....pasi...220 kwa 440 .....short on target 0 wenzao 4......
Kama kufika robo ni rahisi una miaka mingapi unapaota?Wanasimba acheni kujifariji, kila mzimu mnaishia robo. Mnaacha kujitafakari mnakazana et mmepambana kiume, sijui hamna cha kumlaumu.
Kolo ni kolo tu.
Sentensi yako imekaa kiuchu uchugu tu..!!Hauna timu wewe UTOPOLO- tulipo sisi utachukua hata miaka 20 kufika- tuliza bakuli hilo
Sasa robo ndo ubingwa, yaani miaka yote huendelei uko palepale halafu unajifariji.Kama kufika robo ni rahisi una miaka mingapi unapaota?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe unaleta ushabiki wa Uto wakati Mnyama aliwashikisha mashavu mwarabu, haamini macho yakeTumekuja kutoa pole za msiba, sijui mnasafirisha au mtazika hukohuko? Nani anapokea michango? In OKW BOBAN SUNZU voice 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣