Hakuna wa kuilaumu SIMBA- Hongera kwa wachezaji wa Simba wote na bench la ufundi likiongozwa na Babu Robati

We dont hang with loosers, that's harsh reality of capitalism
 
la ufundi, wanachama na mashabiki kwa ujumla
[/QUOTE]

Mshukuru Mna Kocha Bora Kwa Sasa Ambaye Anaifahamu Na Kuifanya Kazi Ya Kwa Ufasaha.
 
Yaani watu wamefungwa moja wamefurahi hao, penalti wefungwa ndio kwanza wanajifariji ooh tumekufa kiume kumbe kuna kufa kikike!

Kubalini kombe lenu la siku zote la robo fainali ndio hilo zaidi ya hapo kwisha habari yenu rudini kwenye lini tuchukue ndoo then tukatutane FA mtueleze mlitufungaje magoli mawili kichawi.
 
Miaka yote 5 mnaishia hapo then mnajisifu kila mwaka mmetoka kiume.Can't you grow?
 
UTOPOLO walitegemea tunafungwa kuanzia 3 kwenda mbele sasa hawaamini nini? Kimetokea hawana say
Ufungwe tatu kwani timu yako ni timu ya netball? Umepata ulichostahili na umetupwa nje ya michuano, mpira ni malengo na si vinginevyo
 
Mlikuwa mnasema wale wakubwa wenzenu mnatoshana, mmetolewa mara oooh wanastahili pongezi kufungwa goli 1 na bingwa mtetezi
 
Kama kufika robo ni rahisi una miaka mingapi unapaota?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sasa robo ndo ubingwa, yaani miaka yote huendelei uko palepale halafu unajifariji.

Subiri tulete kombe la kimataifa nyumbani, nyie komaeni na hizo robo robo labda mkizijumlisha mtapata kitu kizima.
Hii ni robo ya ngapi, ya tatu eeh?? Subirini ya nne mmepewa kombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…