Hakuna wa kuyatabiri maisha ya Mainda.

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
MKONGWE kutoka kiwanda cha sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kuwa, hapa duniani hakuna ambaye anaweza kuyatabiri maisha yake yajayo isipokuwa Mungu pekee.

Mainda alisema , kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuwatabiria wenzao maisha yao kama vile wao ndiyo waliowaumba, jambo ambalo siyo sahihi.

“Sipendi kabisa mtu anitabirie maisha yangu…ooh…huyu yupo hivi, mara hivi, mara amefilisika, jambo ambalo ni baya sana katika maisha yetu ya kila siku maana ni Mungu pekee ndiye anayepanga maisha yetu,” alisema Mainda.

Hivi jina lake ni nani vile? Ruth Suka au Mwanaidi Suka?
Jina lake tu Unpredictable[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Mleta mada yuko dawa sio bure. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]:-\
 
Hivi jina lake ni nani vile? Ruth Suka au Mwanaidi Suka?
Jina lake tu Unpredictable[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Alibadili dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…